RC Mnyeti: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato ni mnafiki, mhuni na muongo!

Huu mfano wako unaonesha ni mwehu grade 1.
Nimekwambia wewe una ufinyu mdogo wa fikra, huo mfano basi usikutoe kwenye reli, nasimamia hapa kati ya mkurugenzi na dc atayeamua kutumia vibaya ofisi kujineemesha binafsi, dc ana uwanda mpana wa kutengeneza pesa kuliko mkurugenzi naomba kuishia hapo!!
 
Mbona sasa DCs huwa wanasubiri magari ya mgao kutoka serikali kuu hawaamuru tu wakachukua hizo LC 300 VXR za wakurugenzi?
 
Ndoto, hakuna DC amewahi kushitakiwa kwa kupiga pesa sababu hawapo kwenye channel ya hela labda kutisha watu kama kina Sabaya.

Wakati huo kuna DEDs kibao washafungwa kwa upigaji.
 
Mbona sasa DCs huwa wanasubiri magari ya mgao kutoka serikali kuu hawaamuru tu wakachukua hizo LC 300 VXR za wakurugenzi?
Zingatia hili, magari yanayonunuliwa na bajeti ya halmashauri au yakuletwa na serikali kuu katika wilaya husika, ktk matumizi yake bado hayana mipaka katika matumizi yake dc atayatumia tu kwa vyovyote vile atakavyo!! Mfano halmashauri inaweza kuwa ilipitisha bajeti ya kununua ambulance lkn ded aka-delay so dc anayomamlaka ya kumuamulisha ded gari lake likatumike kama ambulance mpaka atakapopata ambulance husika!!
 
Wakati huo kuna DEDs kibao washafungwa kwa upigaji.
Ndomana nakwambia DCs wapo position nzuri ya kutengeneza pesa kuliko ded, jiulize swali dogo mpaka ded anadakwa je ni mamlaka ipi ya kwanza kubaini? DEDs wowote wanaojifanya jorowe kumzunguka DCs lazima wafungwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…