Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Haya ndio Masharti ya hivi vyeo vyao vya kuteuliwa.
Huyu hapa
Huyu hapa
Zitto ameisha, hana chake na zambarau yake🤣
Zitto kaahidiwa Ubunge, hatopata kwa kugombeaZitto ameisha, hana chake na zambarau yake🤣
Halafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ànaetakiwa kuwa indépendant entity kumbe ni kada
Wanaosema ni machafuko wanafaidika na mfumo uliopoHalafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ànaetakiwa kuwa indépendant entity kumbe ni kada
Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
Yaan mkuu bora kwasasa hayo mabadiliko yanaonekana kupushiwa na CDM lakin siku CDM ikifa na wimbi la mabadiliko likaendelea hapo ndo patakuwa pagumu sana.Halafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ànaetakiwa kuwa indépendant entity kumbe ni kada
Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
Daah huyo jamaa wa pili kushoto, amejipenyeza wee hadi amefika juu kwa njia za uchawa
Riziwani katoka kitambi yaani! kumbe hakunaga mwembamba bhanaWanaosema ni machafuko wanafaidika na mfumo uliopo
Tafuta pesaRiziwani katoka kitambi yaani! kumbe hakunaga mwembamba bhana
Kabsa! Na hii ziara anayofanya ya kuzurula kama kuku huku mikoani kawezeshwaZitto kaahidiwa Ubunge, hatopata kwa kugombea
View attachment 3394333
Tatizo lenu CDM amsomi sheria, pamoja na mawakili wenu, wangapi hata washapitia public services act ☝️na kusoma hizo ibara.
View attachment 3394335
View attachment 3394336
Wangapi wamepitia hiyo code of conduct ☝️, hizo sheria na regulations ni updated tu, lakini zipo kwa karibu 40.
Civil servants hawatakiwi kuwa na ukaribu wa kichama hivyo; sasa nchi ona wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi na kadhalika wanaoenda ofisini kabisa na sare za chama.
Ndio civil services code of conduct inavyo ruhusu hivyo?
Ni hivi wengine tunaposema katiba sio tatizo, isipokuwa madaraka ya raisi. Hilo ndio tatizo la msingi.
Mengine ni kutoelewa kwenu sheria tu ndio msingi wa CCM kujifanyia mambo. Na wenyewe kuto-challenge action za hawa watumishi wanaoonyesha ukada hadharani au mtu unamjua ni kada wa wazi anateuliwa kuwa civil servant.
Tanzania aihitaji katiba mpya, ina shida ya kuondoa madaraka ya teuzi na tengua za raisi; hapo ndio kwenye kiini cha tatizo.
Wote lazima wajitambulishe kwenye ofisi za CCM Toka enzi na enzi.
Zitto Kabwe kazi anayo 😂