Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kachoka kazeeka ghafla
😆😆😆😆Kachoka kazeeka ghafla
Kwani madaraka ya Rais yanayolalamikiwa si ni sehemu ya Katiba?View attachment 3394333
Tatizo lenu CDM amsomi sheria, pamoja na mawakili wenu, wangapi hata washapitia public services act ☝️na kusoma hizo ibara.
View attachment 3394335
View attachment 3394336
Wangapi wamepitia hiyo code of conduct ☝️, hizo sheria na regulations ni updated tu, lakini zipo kwa karibu 40.
Civil servants hawatakiwi kuwa na ukaribu wa kichama hivyo; sasa nchi ona wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi na kadhalika wanaoenda ofisini kabisa na sare za chama.
Ndio civil services code of conduct inavyo ruhusu hivyo?
Ni hivi wengine tunaposema katiba sio tatizo, isipokuwa madaraka ya raisi. Hilo ndio tatizo la msingi.
Mengine ni kutoelewa kwenu sheria tu ndio msingi wa CCM kujifanyia mambo. Na wenyewe kuto-challenge action za hawa watumishi wanaoonyesha ukada hadharani au mtu unamjua ni kada wa wazi anateuliwa kuwa civil servant.
Tanzania aihitaji katiba mpya, ina shida ya kuondoa madaraka ya teuzi na tengua za raisi; hapo ndio kwenye kiini cha tatizo.
Sasa kubadili hilo linataka katiba mpya au amendments tu.Kwani madaraka ya Rais yanayolalamikiwa si ni sehemu ya Katiba?
Yapo na mengine mengi.Sasa kubadili hilo linataka katiba mpya au amendments tu.
Halafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ànaetakiwa kuwa indépendant entity kumbe ni kada
Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
mimi naona haimake sense hio no reforms no election japo mimi ni mhumin namba moja wa mabadiliko in TanzaniaHalafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ànaetakiwa kuwa indépendant entity kumbe ni kada
Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
Hawezi kumzuia Abdul Nondo kuwa mbunge hapo ujiji...Zitto ameisha, hana chake na zambarau yake🤣
Lazima ajitambulishe kwenye Chsma tawala
Kweli aisee! Watu wanaweza kuwa wanaenda kupiga pesa Goma wanakuja kutoa mchango kwenye chama ili wasisumbuliwe hapo KGM!Moja ya wakuu wa mikoa waliokuwa straight na nadhani waliifaa Kigoma alkuwa Kanali Elmon Mahawa.
Huko rc akiendekeza uccm atashangaa raia wakigen kibao wanakuwa ccm kindakindaki.
Maana huo mkoa hauhitaji kuongozwa kwa mahaba ya kisiasa(ccm) bali kwa wivu wa kitaifa hapo otherwise utaingiza virusi.
😆😆😆😆Kitoka IGP mpaka mkuu wa mkoa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye nchi yetu.
ukiwauliza nani alimuua kibao wanakwambia mbona waziri mkuu wa sweeden aliuwawa mchana na hakuna mtu amekamatwa hadi leo sasa kibao nani?Ila CCM hata aibu hatuna eti, inawezekana kweli ni mpango wa Mungu mambo yote yawe wazi ili "mbio za sakafuni ziishie ukingoni".