RC mpya Simon Sirro ajitambulisha kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma

Kwani madaraka ya Rais yanayolalamikiwa si ni sehemu ya Katiba?
 
Hivi, hiyo ni promotion au demotion? Ulikuwa IGP ukiongoza Jeshi la Polisi nchi nzima, ila leo unaongoza Jeshi la Polisi mkoani kwako Kigoma tu. Polisi wa mikoa mingine huna amri juu yao. Ni promotion au kitu gani hiki?
 
Halafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ร naetakiwa kuwa indรฉpendant entity kumbe ni kada

Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
Halafu kuna mtu bado atasema reform ni kuleta machafuko. Imagine mtu ร naetakiwa kuwa indรฉpendant entity kumbe ni kada

Chadema kudai NRNE makes a lot of sense
mimi naona haimake sense hio no reforms no election japo mimi ni mhumin namba moja wa mabadiliko in Tanzania
 
Aende akajitambulishe na kule ofisi za ACT na Chadema
 
Kitoka IGP mpaka mkuu wa mkoa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye nchi yetu.
 
Kweli aisee! Watu wanaweza kuwa wanaenda kupiga pesa Goma wanakuja kutoa mchango kwenye chama ili wasisumbuliwe hapo KGM!
 
Ila CCM hata aibu hatuna eti, inawezekana kweli ni mpango wa Mungu mambo yote yawe wazi ili "mbio za sakafuni ziishie ukingoni".
ukiwauliza nani alimuua kibao wanakwambia mbona waziri mkuu wa sweeden aliuwawa mchana na hakuna mtu amekamatwa hadi leo sasa kibao nani?
ukwambia uchaguzi wa tanzania siyo huru na wa haki kwakuwa katiba ni mbovu wanakwambia katiba siyo kipao mbele
NCHIMBI AKIENDA KWA MABALOZI WAEU SAWA, WAKIENDA WENZAO WANAHAMASISHA USHOGA.
Hao ndiyo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ