RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.

RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye matope.

Rose aliyasema hayo mbele ya wananchi na watendaji alipowasili mkoani Geita tayari kukabidhiwa ofisi.

Chanzo: ITV habari!
 
Hapo hapo chato kwa walima furu kuna uwanja wa ndege wa kuchezea bata na mwewe....

Hii nchi ilikua kwenye full fascism
Tunachosahau watanzania ni ukweli kwamba sisi tunapita njia.

Huo uwanja utakuja kutumika siku fursa za maeneo hayo zikifunguka kwa mapana yake.

Walipo jenga minara ya São Paulo na Paris miaka mingi nyuma kwa wakati ule walionekana wajinga lakini leo hii ni vyanzo vya pesa za utalii za Brazil na france.

Tatizo letu waafrika ni kudhani maisha ni ya kwetu tu.
 
Back
Top Bottom