Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu mimi sio msukuma ingawa ni mwenyeji wa kanda ya ziwa.Tuseme kweli kupitia Fashisti Yule wasukuma mmeonekana ni watu wa hovyo sana.
Kwa nchi masikini Kama hii haingii akilini kutoishi kwa vipaumbele.Tunachosahau watanzania ni ukweli kwamba sisi tunapita njia.
Huo uwanja utakuja kutumika siku fursa za maeneo hayo zikifunguka kwa mapana yake....
Tatizo ni RC aliyemtangulia alikuwa anatoka Chadema. Hapo ndipo shida ipo...angekuwa katoka CCM aaah lami na pavement kila mahali!!Mkuu mpya wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope...
Airport zote Tanzania zinakarabatiwa na zote ni muhimu.Kwa nchi masikini Kama hii haingii akilini kutoishi kwa vipaumbele.
Hakuna justification yoyote inayoweza eleweka kuwa chato kulikua umuhimu wa kujengwa Airport ya kiwango kile Kama si ulimbukeni na ubinafsi.
Kwa uchache wa rasilimali isingetarajiwa Leo kuna stendi zenye tope tena za mkoa huku kuna viwanja vya ndege vya kuchezea popo!!
Wameshachelewa mkuuIfike hatua madini ya wana geita yawanufaishe
Kateuliwa kuijenga sio kushangaa. Ni wajibu wake kuijenga.
Ahsante RC Rose kwa kuliona hilo. Ila ujue watu watakukumbusha hii kauli siku za mbeleni kama hautafanya kitu kwenye hiyo stendi wakati wa kipindi chako.Mkuu mpya wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.
RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye matope.
Rose aliyasema hayo mbele ya wananchi na watendaji alipowasili mkoani Geita tayari kukabidhiwa ofisi.
Source ITV habari!
Airport zote Tanzania zinakarabatiwa na zote ni muhimu.
Kumbuka ukanda ule ardhi yake ni madini matupu hivyo ni suala la muda tu maendeleo kufika.
Mwendazake amewaharibia sana, japo hata kabila lake plus elimu yake vina utata sanaMkuu mimi sio msukuma ingawa ni mwenyeji wa kanda ya ziwa.
Simiyu, Geita, Shinyanga, Mwanza na Tabora ni mikoa ya wasukuma ndio kabila kubwa kuliko yote Tanzania.
Usiwaunganishe wote kwa kumtazama mtu mmoja tu.
Kama wasukuma wangekuwa sio waungwana hii nchi siku nyingi ingeshamegwa tangu enzi za JKN.
Mi nilifikiri bukoba Tu .Stencil ya Chato pia Ina matope?
Kaharibu humu jukwaani huko kwa wananchi wamelia na kuomboleza sana.Mwendazake amewaharibia sana, japo hata kabila lake plus elimu yake vina utata sana
Na wananchi wanalipa kodi,Mi nilifikiri bukoba Tu .
Yaan mtu unakua mkuu wa mkoa stendi inafikia hapa na wew upo tu
Tazama stendi hii ya bukobaView attachment 1797072
Ni kweli mkuu!Ahsante RC Rose kwa kuliona hilo. Ila ujue watu watakukumbusha hii kauli siku za mbeleni kama hautafanya kitu kwenye hiyo stendi wakati wa kipindi chako.
Gari kulala hapo Tu 15k lakin sijui Kodi inaenda wapNa wananchi wanalipa kodi,
Wewe ni zaidi ya mbwa kabisa!!Tuseme kweli kupitia Fashisti Yule wasukuma mmeonekana ni watu wa hovyo sana.
Angeshangaa Watanzania kuwa MASIKINI Miaka 60 ya UHURU Nchi ina RASLIMALI LUKUKIMkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.
RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye matope.
Rose aliyasema hayo mbele ya wananchi na watendaji alipowasili mkoani Geita tayari kukabidhiwa ofisi.
Chanzo: ITV habari!