Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Jan 31, 2023 #21 johnthebaptist said: Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka. Source: Jambo TV Njombe Click to expand... Ni kauli ya kawaida kabisa kwenye mazingira ya democrasia na uhuru na haki ya mikutano ya hadhara, watch dogs, checks and balances, Utawala Bora ndio nchi inaenda vizuri.
johnthebaptist said: Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka. Source: Jambo TV Njombe Click to expand... Ni kauli ya kawaida kabisa kwenye mazingira ya democrasia na uhuru na haki ya mikutano ya hadhara, watch dogs, checks and balances, Utawala Bora ndio nchi inaenda vizuri.
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,408 Reaction score 2,196 Jan 31, 2023 #22 RC Mtaka anajua siasa, ni moja kati ya vijana Bora kuwahi kutokea katika siasa Safi ndani ya chama cha mapinduzi.
RC Mtaka anajua siasa, ni moja kati ya vijana Bora kuwahi kutokea katika siasa Safi ndani ya chama cha mapinduzi.
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Jan 31, 2023 #23 johnthebaptist said: Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka. Source: Jambo TV Njombe Click to expand... salamu zimfikie jiwe heti siwezi kufanya kazi nawanao nipinga
johnthebaptist said: Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka. Source: Jambo TV Njombe Click to expand... salamu zimfikie jiwe heti siwezi kufanya kazi nawanao nipinga