Pre GE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ofisi gani ya mkuu wa mkoa waweza ingia watu 20 na makada ikatosha

Chadema pumbavu zenu

Hamuelewi hata vitu vidogo tu

Mkuu wa mkoa kasema nataka kukutana na viongozi hapo wawili au watatu wangetosha

Sasa mnaenda na watu 20 na makada lukuki

Nyie kichwani zimo kweli?
Dada angu mbona umepanic
 
ujinga uko ccm unawapiga watanzania walipa kodi kwenye ofisi ya serikali kwani kunashida gani kuwakaribisha kisha kuwaelekeza kistaarabu,halafu kwa ujinga anasema hanataarifa ya kupigwa wakati wako eneo la ofisi yake
Wanalipa kodi wapi hao wazururaji tu na hawana shughuli za kueleweka za kuwaingizia vipato

weka hapa shughuli wafanyazo na vipato vyao na kodi walizolipa TRA

Iko haja kila anayetaka kumuona kionhoxi wa serikali kwanza aonyeshe kama yeye ni mlipa kodi na ushahidi wa kodi alizolipa serikalini ndipo asikilizwe
Akiwemo Lisu na Godbless Lema
 
huu upumbavu utaupata tu ccm
 
Waliotakiwa kwenda kwa mkuu wa mkoa walikuwa viongozi ndio mkuu wa mkoa aliokuwa na ahadi nao sio watu 20 na makada juu wa Chadema

Kilichotokea walilazimisha wote kutaka kuingia kuonana na mkuu wa Mkoa badala ya viongozi tu na wakawa hawataki kuelewa na kudharau polisi ndipo kuondoa vurugu ofisi ya mkuu wa mkoa Polisi wakawakamata na kuwatia ndani

Watu 20 na makada wasingetosha ofisi ya mkuu wa mkoa huo ungekuwa mkutano wa hadhara

Yeye alihitaji kuonana viongozi tu

Chadema hao wa Mwanza uelewa wao mdogo mno wako nusu kaputi vichwa vyao

Polisi walikuwa sahihi na mkuu wa mkoa yuko sahihi
Pumbavu!
 
Wanalipa kodi wapi hao wazururaji tu na hawana shughuli za kueleweka za kuwaingizia vipato

weka hapa shughuli wafanyazo na vipato vyao na kodi walizolipa TRA

Iko haja kila anayetaka kumuona kionhoxi wa serikali kwanza aonyeshe kama yeye ni mlipa kodi na ushahidi wa kodi alizolipa serikalini ndipo asikilizwe
Akiwemo Lisu na Godbless Lema
Mwanzo wa uchangiaji wako nilidhani kuwa una kichwa kisichokuwa na ubongo lkn kwa mchango wako huu nimejiridhisha pasi na shaka kuwa vyote viwili hauna.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake.

Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad walipokuwa wamekaribia kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kwenda kufuatilia tukio la kiongozi wao kutekwa, wanadai kukamatwa na Jeshi la Polisi ambao waliwataka kwenda kituoni kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Soma, Pia: Makada 20 wa CHADEMA wakamatwa wakielekea kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza kufuatilia mwenzao aliyepotea kwa siku 12

Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa baadhi ya viongozi wa Chama hicho wamedai mbali na kukamatwa bila sababu za msingi pia baadhi yao wamepigwa wakati wakijaribu kuhoji wakiwa kituo cha polisi.

Hata hivyo wamedai mbali na kuwaeleza maofisa hao kuwa wana ahadi ya kukutana na RC Mtanda bado waliendelea kushikiliwa pasipo kupewa nafasi ya kujieleza huku wakijibiwa kuwa hawana taarifa hiyo.

Hata hivyo Mtanda amekana kuhusika na ukamataji huo huku akidai alikuwa na ahadi ya kukutana nao na asingeweza kufanya kitendo hicho na kuongeza kuwa wakati wowote CHADEMA wanakaribishwa kwenye ofisi yake.

Hii nchi Haina amani kama wengi wanavyodhani
 
Kama RC anamaanisha katika hiyo kauli yake, atoe agizo la kukamatwa hayo mashetani yaliyojificha ndani ya jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom