Pre GE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waliotakiwa kwenda kwa mkuu wa mkoa walikuwa viongozi ndio mkuu wa mkoa aliokuwa na ahadi nao sio watu 20 na makada juu wa Chadema

Kilichotokea walilazimisha wote kutaka kuingia kuonana na mkuu wa Mkoa badala ya viongozi tu na wakawa hawataki kuelewa na kudharau polisi ndipo kuondoa vurugu ofisi ya mkuu wa mkoa Polisi wakawakamata na kuwatia ndani

Watu 20 na makada wasingetosha ofisi ya mkuu wa mkoa huo ungekuwa mkutano wa hadhara

Yeye alihitaji kuonana viongozi tu

Chadema hao wa Mwanza uelewa wao mdogo mno wako nusu kaputi vichwa vyao

Polisi walikuwa sahihi na mkuu wa mkoa yuko sahihi
Kwenye kila majengo ya Ofisi za Wakuu wa Mikoa huwa kunakuwa Ofisi au Chumba Cha Mikutano, kwa Nini hao Watu 20 tu wangeruhusiwa kukutana na huyo Mkuu wa Mkoa kwenye hicho Chumba Cha Mikutano hapo Ofisini kwake?
Watu 20 ni idadi ndogo sana ya Watu, isingeshindikana kukutana nao wote hao kwenye chumba kimoja Cha mikutano au kwenye ukumbi Mdogo vwa mikutano hapo Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa
 
Back
Top Bottom