Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Dada angu mbona umepanicOfisi gani ya mkuu wa mkoa waweza ingia watu 20 na makada ikatosha
Chadema pumbavu zenu
Hamuelewi hata vitu vidogo tu
Mkuu wa mkoa kasema nataka kukutana na viongozi hapo wawili au watatu wangetosha
Sasa mnaenda na watu 20 na makada lukuki
Nyie kichwani zimo kweli?
SureMtanda ni mwanasiasa mkongwe kuongea na watu 20 ni wachache Sana asingeweza kukataa
Tuna polisi katili na ya hovyo haswaPolisi waache kutumiwa kisiasa.
Wanalipa kodi wapi hao wazururaji tu na hawana shughuli za kueleweka za kuwaingizia vipatoujinga uko ccm unawapiga watanzania walipa kodi kwenye ofisi ya serikali kwani kunashida gani kuwakaribisha kisha kuwaelekeza kistaarabu,halafu kwa ujinga anasema hanataarifa ya kupigwa wakati wako eneo la ofisi yake
Watu 20 ni wachache snEnzi za JK ikulu walikuwa wanaenda Wanachadema zaidi ya 20 na wanaongelea ofisini siyo ukumbini 🐼😄
basi kashindwa kwasababu tu ni chademaMtanda ni mwanasiasa mkongwe kuongea na watu 20 ni wachache Sana asingeweza kukataa
Walikuwa 20 na makada kibaoWatu 20 ni wachache sn
huu upumbavu utaupata tu ccmWanalipa kodi wapi hao wazururaji tu na hawana shughuli za kueleweka za kuwaingizia vipato
weka hapa shughuli wafanyazo na vipato vyao na kodi walizolipa TRA
Iko haja kila anayetaka kumuona kionhoxi wa serikali kwanza aonyeshe kama yeye ni mlipa kodi na ushahidi wa kodi alizolipa serikalini ndipo asikilizwe
Akiwemo Lisu na Godbless Lema
Tena Chadema ndio hawanaga shida Kabisa 😄basi kashindwa kwasababu tu ni chadema
Wamekuwa zaidi hata ya Polisi wa Wakoloni wa Kijerumani na Waiingereza.Tuna polisi katili na ya hovyo haswa
Pumbavu!Waliotakiwa kwenda kwa mkuu wa mkoa walikuwa viongozi ndio mkuu wa mkoa aliokuwa na ahadi nao sio watu 20 na makada juu wa Chadema
Kilichotokea walilazimisha wote kutaka kuingia kuonana na mkuu wa Mkoa badala ya viongozi tu na wakawa hawataki kuelewa na kudharau polisi ndipo kuondoa vurugu ofisi ya mkuu wa mkoa Polisi wakawakamata na kuwatia ndani
Watu 20 na makada wasingetosha ofisi ya mkuu wa mkoa huo ungekuwa mkutano wa hadhara
Yeye alihitaji kuonana viongozi tu
Chadema hao wa Mwanza uelewa wao mdogo mno wako nusu kaputi vichwa vyao
Polisi walikuwa sahihi na mkuu wa mkoa yuko sahihi
Mwanzo wa uchangiaji wako nilidhani kuwa una kichwa kisichokuwa na ubongo lkn kwa mchango wako huu nimejiridhisha pasi na shaka kuwa vyote viwili hauna.Wanalipa kodi wapi hao wazururaji tu na hawana shughuli za kueleweka za kuwaingizia vipato
weka hapa shughuli wafanyazo na vipato vyao na kodi walizolipa TRA
Iko haja kila anayetaka kumuona kionhoxi wa serikali kwanza aonyeshe kama yeye ni mlipa kodi na ushahidi wa kodi alizolipa serikalini ndipo asikilizwe
Akiwemo Lisu na Godbless Lema
Una ndugu Ubeleji?Hii nchi ishawaka, bado kulipuka tu
Ya lissu ya MboweHii nchi ishawaka, bado kulipuka tu
Polisi waache kutumiwa kisiasa.
Hii nchi Haina amani kama wengi wanavyodhaniMkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake.
Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad walipokuwa wamekaribia kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kwenda kufuatilia tukio la kiongozi wao kutekwa, wanadai kukamatwa na Jeshi la Polisi ambao waliwataka kwenda kituoni kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Soma, Pia: Makada 20 wa CHADEMA wakamatwa wakielekea kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza kufuatilia mwenzao aliyepotea kwa siku 12
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa baadhi ya viongozi wa Chama hicho wamedai mbali na kukamatwa bila sababu za msingi pia baadhi yao wamepigwa wakati wakijaribu kuhoji wakiwa kituo cha polisi.
Hata hivyo wamedai mbali na kuwaeleza maofisa hao kuwa wana ahadi ya kukutana na RC Mtanda bado waliendelea kushikiliwa pasipo kupewa nafasi ya kujieleza huku wakijibiwa kuwa hawana taarifa hiyo.
Hata hivyo Mtanda amekana kuhusika na ukamataji huo huku akidai alikuwa na ahadi ya kukutana nao na asingeweza kufanya kitendo hicho na kuongeza kuwa wakati wowote CHADEMA wanakaribishwa kwenye ofisi yake.
UongoIko aya inaruhusu kudanganya Ili kuepusha shari 🐼
Aisee naona kunakuchaHii nchi ishawaka, bado kulipuka tu