Waliotakiwa kwenda kwa mkuu wa mkoa walikuwa viongozi ndio mkuu wa mkoa aliokuwa na ahadi nao sio watu 20 na makada juu wa Chadema
Kilichotokea walilazimisha wote kutaka kuingia kuonana na mkuu wa Mkoa badala ya viongozi tu na wakawa hawataki kuelewa na kudharau polisi ndipo kuondoa vurugu ofisi ya mkuu wa mkoa Polisi wakawakamata na kuwatia ndani
Watu 20 na makada wasingetosha ofisi ya mkuu wa mkoa huo ungekuwa mkutano wa hadhara
Yeye alihitaji kuonana viongozi tu
Chadema hao wa Mwanza uelewa wao mdogo mno wako nusu kaputi vichwa vyao
Polisi walikuwa sahihi na mkuu wa mkoa yuko sahihi