RC Mtanda: Naviachia Vyombo vya Usalama kuchunguza kama nilihusika kwa namna yoyote kwenye tuhuma za ulawiti zinazomkabili Dkt. Nawanda

Yaani Mh Mtanda unataka uchunguzi kukuhusu ufanyike Ukiwa Ofisini?

Kimaadili unatakiwa ujiuzulu au usimamishwe na mamlaka iliyokuteua.

Sasa subiri uchunguzi!!
 
Kwa hiyo mtu kuvaa pete vidoleni nayo ni shida, acheni hizo.
Sio shida, ila vipi ukienda shuleni anaposoma mwanao alafu akaja mwalimu wa nidhamu mwanaume kanyoa upara, kaacha ndevu ndefu, kavaa Tshirt inambana shingoni, mkononi amevaa mbera ya silver na pete za vito kwenye vidole vitatu vya mkono wa kulia.


Utamchukuliaje yeye binafsi na hiyo shule?
 
Huyu anayelilia haki yake ni mbuzi au sio mwananchi? Leo kafirwa yeye kesho inaweza kuwa zamu yako
Haki yake gani wakati ni wapenzi?
Yaani imetelezea matakoni tu ndio iwe shida, hainaga macho hiyo.

Nyie mnaoshadadia kesi za mchongo jiangalieni, kesho utasingiziwa wewe.
 
Huna akili na hana akili mtanda(katamkubwa) ,wakati unazungumza hayo ulitakiwa kuwa nje ya ofisi gebwe mkubwa kabisa
 
Haki yake gani wakati ni wapenzi?
Yaani imetelezea matakoni tu ndio iwe shida, hainaga macho hiyo.

Nyie mnaoshadadia kesi za mchongo jiangalieni, kesho utasingiziwa wewe.
Nchini tz ,uepzni wa matundu kinyume na matumizi nikosa kwamfanyaji na mfanywa
 
Huyu Mzee nae sijui aliwaza Nini!?? Kuficha ukweli!??

Dah! Hawezi kaa meza moja Tena na wakuu... Yani hajishtukii!?? 🙄🙄🙄
 
Waalimu wana ''dressing code''

Wakuu wa mikoa wana dress code gani?
 
Nchini tz ,uepzni wa matundu kinyume na matumizi nikosa kwamfanyaji na mfanywa
Hebu tuwekeeni vifungu vya sheria.

Mbona mashoga hawakamatwi?

Kama kuna sheria kama hiyo, basi ni ya kipuuzi. Unawekaje sheria kwa kitu ambacho mtu anakifanya wakati wamapenzi akiwa amejificha chumbani?
 
Kama yupo serious,apishe uchunguzi ufanyike.
Collective responsibility should be applied.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…