kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Inaonesha kifungu unakijuaHebu tuwekeeni vifungu vya sheria.
Mbona mashoga hawakamatwi?
Kama kuna sheria kama hiyo, basi ni ya kipuuzi. Unawekaje sheria kwa kitu ambacho mtu anakifanya wakati wamapenzi akiwa amejificha chumbani?