RC Mtanda: Naviachia Vyombo vya Usalama kuchunguza kama nilihusika kwa namna yoyote kwenye tuhuma za ulawiti zinazomkabili Dkt. Nawanda

Zama hizi utasikia mara DED kabaka mfanyakazi wake wa ndani, mara waziri kakamatwa na mwanafunzi wa chuo, mara RC kalawiti.....n.k...n.k.
Kuna tatizo serious la viongozi wetu kukosa maadili. na haswa UZINZI.UASHARATI.USALITI.UZINZI.
Viongozi wanasaluti ndoa zao!!! wanawezaje kutenda haki!!!
 
Tusiime kumbe ulilazimishiwa kwenye gari ndogo.Kwahiyo ukatulia hadi akakojolea ndani au ? Kuna mengi nyuma ya pazia, mwenyezi Mungu atayafichua siku moja na walimwengu watashangaa.Msicheze na vitoto vya 2000 havina haya, nyuso zao ni kavu vikiongea uongo, havikubali hadi uwe na ushahidi tangible, usaliti ni kawaida yao, kuhadaika ni dakika sifuri, hizi ni tabia zao chache kwa jinsia zote.Ongeza nyingine
 
Lakini si wamesema tusubiri mahakama iamue? Kwanini unamtetea mkuu wa mkoa mtumbuliwa mzee wa kulawiti kwa uchungu hivyo? Yule binti kashasema kama ikionekana ni uongo achukuliwe hatua yoyote huoni uzito wa kiapo hiko?

Alafu yeye kuwa mtoto wa 2000 kama haimnyimi yeye haki ya kulalamika akifanyiwa maovu, unataka utuaminishe kuwa watoto wote wa 2000 hawafai

Hilo hapana ,kuna hadi wazee wa mwaka 80 hawafai kabisaa acha haki itendeke

Au una ukaribu na huyo mkuu wa mkoa?
 
Hata wewe siku ukiamua kulalamika kuwa umechoka kifirua utatetewa tu. So weka akiba ya maneno. Huwezi jua lini utaamua kuachana na hilo jambo.
This is utternonsense.

You dont know the super trap manouver and political machinations involved in the saga.

Kwa sababu ya ujinga tu unadhani unatetea haki. You people should try to understand things first.
 
😳
 
Kwan huyo Tumsime ndio nani hana hata picha ? Sijaona hata picha toka hil sakat lianze au ndio kuumizana vichwa tu??
 
Kwan huyo Tumsime ndio nani hana hata picha ? Sijaona hata picha toka hil sakat lianze au ndio kuumizana vichwa tu??
 
Bwana saidii mohamed mtanda . Wewe unahusika katika jambo hili na huwezi kukwepa.
Je kwa nn nawanda hajapelekwa mahakamani mpaka leo?
Nani alitoa/ kabidhi pesa kwa tusiime kama siyo wewe?
Barua ya kufuta mashtaka iliandikwa na nani, akiwa wapi na kwann mlimwita mtuhumiwa aje aisaini ofsini kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…