Hakuna kitu kama hicho, iyo iko kwa damu, mpira ni biashara si sababu eti Pamba idhaminiwe na GSM ambaye pia ni mdhamini wa Yanga eti uichukie basi we sio shabiki.Zamani i kabla Pamba haijatekwa na GSM
Toto Africa -Yanga
Pamba - Simba
Ila siku hizi huo utamaduni umeondoka haupo tena
PAMBA JIJI BINGWA
DaimaMbele NyumaMwiko
Katika kuizungumzia Pamba akawatania kidogo Yanga kwa kufungwa na tabora watu wakacheka akaongezea na kautanii Yanga oyee mbona ni suala simple sana na wanafanya wengi hata Waziri Mkuu alishawahi kufanya utani kama huu na anajulikana ni Simba kindakindakiAnazungumzia pamba jiji halafu anasema Yanga Oyee. Sasa watu wamuelewe vipi kama sio kajionesha kuwa ni shabiki wa Yanga anayetamani Simba ifungwe na Pamba.
Ndo umeamua kuona ujinga wake? Mbona kwingine una mtetea...Yaani mambo ya kipuuzi kabisa yanakuzwa ili yaonekane ni ya maana! Kwa akili za aina hii, wacha tu ccm iendelee kututawala milele.
Sina desturi ya kutetea ujinga. Kwangu mimi naona mnajitahidi tu kuikuza hiyo ishu.Ndo umeamua kuona ujinga wake? Mbona kwingine una mtetea...
Yaan dini mpira na ukabila viongoz wangelikua wangekaa navyo mbali kuvishabikia maana huko mbele ya safari lazima vikuwache solembaVimkAnazungumzia pamba jiji halafu anasema Yanga Oyee. Sasa watu wamuelewe vipi kama sio kajionesha kuwa ni shabiki wa Yanga anayetamani Simba ifungwe na Pamba.
Acha tumchambe kwani mnaumia nini? Au ni baba yenuSina desturi ya kutetea ujinga. Kwangu mimi naona mnajitahidi tu kuikuza hiyo ishu.