RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

Zamani i kabla Pamba haijatekwa na GSM


Toto Africa -Yanga

Pamba - Simba

Ila siku hizi huo utamaduni umeondoka haupo tena
Hakuna kitu kama hicho, iyo iko kwa damu, mpira ni biashara si sababu eti Pamba idhaminiwe na GSM ambaye pia ni mdhamini wa Yanga eti uichukie basi we sio shabiki.
 
PAMBA JIJI BINGWA

DaimaMbele NyumaMwiko
1000192201.jpg
 
Anazungumzia pamba jiji halafu anasema Yanga Oyee. Sasa watu wamuelewe vipi kama sio kajionesha kuwa ni shabiki wa Yanga anayetamani Simba ifungwe na Pamba.
Katika kuizungumzia Pamba akawatania kidogo Yanga kwa kufungwa na tabora watu wakacheka akaongezea na kautanii Yanga oyee mbona ni suala simple sana na wanafanya wengi hata Waziri Mkuu alishawahi kufanya utani kama huu na anajulikana ni Simba kindakindaki
 
Yaani mambo ya kipuuzi kabisa yanakuzwa ili yaonekane ni ya maana! Kwa akili za aina hii, wacha tu ccm iendelee kututawala milele.
Ndo umeamua kuona ujinga wake? Mbona kwingine una mtetea...
 
VimkAnazungumzia pamba jiji halafu anasema Yanga Oyee. Sasa watu wamuelewe vipi kama sio kajionesha kuwa ni shabiki wa Yanga anayetamani Simba ifungwe na Pamba.
Yaan dini mpira na ukabila viongoz wangelikua wangekaa navyo mbali kuvishabikia maana huko mbele ya safari lazima vikuwache solemba
 
Back
Top Bottom