MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Dar hakuna upuz huoWanaume wa dodoma mna taka kua kama wa dar sasa wana ogopa mbwa 10...yani mvuta bangi mmoja mna muandikia uzi
Kaka umeshindwa hata kununua manati umlenge usku uone kama atarudia ujinga ule ,Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya Polisi wa kawaida. Yeye ndie Polisi,yeye ndie Mwanasheria,yeye ndie Hakimu,yeye ndie Magereza. Kazi yake ni kukamata watu na kuwalazimisha wampe pesa akidai ili asiwafikishe Kituo cha Polisi.
Nimesikia Dodoma ameletwa RPC mpya ambaye ni Mwanamama hivyo RPC na RC wote ni wakinamama.
Tafadhali njooni Kata ya Nala itisheni kikao cha wananchi ili tuwaambie malalamiko yetu dhidi ya huyu Polisi Jamii anayeitwa MALIMA.
Ni mnyanyasaji sana kwa Wananchi wanyonge hasa wanawake kwa kuwa hawajui Sheria na Haki zao za msingi.
Haiwezekani mtu mmoja mhuni tu kwa kofia ya upolisi jamii awasumbue wake zetu kwa kumwaga vyakula vyao vya biashara akisema wamechafua mazingira kwa kumwaga maji yenye ukoko wakati ukweli ni kwamba aliwatongoza wakamkataa, na sasa anawakomesha kwa kuwakamata na kutaka wampe pesa akitishia kuwafunga jela.
Diwani anazo taarifa za unyanyasaji unaofanywa na huyu kijana lakini amekaa kimya. Tafadhali RC na RPC mpya Dodoma njooni Nala, itisheni Kikao ili msikie malalamiko yetu dhidi ya huyu mhuni polisi jamii anayeitwa Malima, tafadhali tusaidieni tumechoka na manyanyaso na uonezi wake.
Ndugu,uwezo wa kupambana nae kwa ngumi ninao,tatizo watu wanatembea na magonjwa yao,naweza kwa hasira nikamtwanga ngumi akadondoka akanifia,kwa umri wangu kuanza kuburuzwa Mahakamani kwa Mauaji nitafia hukohukoWeka namba zake za simu hapa .
Pia kama umewahi soma majina yake yote na namba ya kazi kwenye uniform zake weka hapa .
Pole sana ila siku nyingine jisimamie usiwe mnyonge hivyo ndugu yangu
Mnachanganya kati ya Askari Ofisa wa Polisi na Polisi Jamii (PJ-Askari wa ulinzi shirikishi AUXILIARY POLICE).Inashangaza pia Mpo Nala.
Namba ya DC hamuna
Namba ya OCD hamna
Namba ya RC hamna
Namba ya DAS au RAS hamna
Namba ya RPC hamna
Namba ya RCO hamna
Namba ya Mnadhimu wa Polisi pia hamna?
😀
Ni uzembe pia huu
Polisi jamii hawana namba wala majina wale ni mgambo waliozubaa, wanawajibika kwa MkurugenziWeka namba zake za simu hapa .
Pia kama umewahi soma majina yake yote na namba ya kazi kwenye uniform zake weka hapa .
Pole sana ila siku nyingine jisimamie usiwe mnyonge hivyo ndugu yangu
Ndugu nitakuwa sikumuelewa maana nilijua ni wale askari kata hivyo ndiyo maana nikataka namba yake ya kazi .Polisi jamii hawana namba wala majina wale ni mgambo waliozubaa, wanawajibika kwa Mkurugenzi
Ni kweli,ni kimgambo fulani kipuuzi sana na Raia kwa kutokujua haki zao wanakubali kuonewa sanaMnachanganya kati ya Askari Ofisa wa Polisi na Polisi Jamii (PJ-Askari wa ulinzi shirikishi AUXILIARY POLICE).
Huyu anayelalamikiwa ni Polisi Jamii (Same to mgambo wa jiji)
Sasa watu wanachanganya huyo Polisi Jamii (AUXILIARY Police) na Askari Polisi (Police officer)Ni kweli,ni kimgambo fulani kipuuzi sana na Raia kwa kutokujua haki zao wanakubali kuonewa sana
Nimeanza kwa kutoa taarifa ili viongozi wachukue hatua,zaidi ya hapo Wananchi tutajichukua Sheria mkononiMkuu huyo mpuuzi mmoja ndio anakufanya uanzishe uzi? Hebu mvizie usiku uchochoroni, uyamalize nae mkiwa wawili tu bila ushuhuda wa walimwengu, kuna nyakati inabidi uchukue hatua stahiki kulinda heshima yako na mkeo.
Usiongelee haya mambo kwa wingi, kama mke wako kazinguliwa, hii ni issue yako binafsi mkuu. Wanaume siku hizi tumekuja kuwaje jamani..?Nimeanza kwa kutoa taarifa ili viongozi wachukue hatua,zaidi ya hapo Wananchi tutajichukua Sheria mkononi
Weka namba zake mkuu , sjue amemulikwaNdugu,uwezo wa kupambana nae kwa ngumi ninao,tatizo watu wanatembea na magonjwa yao,naweza kwa hasira nikamtwanga ngumi akadondoka akanifia,kwa umri wangu kuanza kuburuzwa Mahakamani kwa Mauaji nitafia hukohuko
Kaka Police Jamii ni Idara ndani Jeshi la Polisi.Mnachanganya kati ya Askari Ofisa wa Polisi na Polisi Jamii (PJ-Askari wa ulinzi shirikishi AUXILIARY POLICE).
Huyu anayelalamikiwa ni Polisi Jamii (Same to mgambo wa jiji)
Mnachanganya.Polisi jamii hawana namba wala majina wale ni mgambo waliozubaa, wanawajibika kwa Mkurugenzi
Mgambo ndo akingiwe kifua na viongozi ??😀😂Ni kweli,ni kimgambo fulani kipuuzi sana na Raia kwa kutokujua haki zao wanakubali kuonewa sana