Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 26, 2024 #1 Wakuu Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024. Your browser is not able to display this video.
Wakuu Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024. Your browser is not able to display this video.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Nov 26, 2024 #3 Tunaongozwa na wajinga, sifa nyingiii matokeo sifuri!.