Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nakazia amejuajeDuh!
Amejuaje hawapaki manukato?
Rahisi sana [ingawa huwezi kusema ni wote]!Duh!
Amejuaje hawapaki manukato?
Nani alimteua yeye kuwa RC wa Mwanza?Nchi tamu Sana hii,
By the way huyu jamaa ni mpendwa wa mwendazake ndio maana alipewa Geita na Chato kwa pamoja usishangae alikuwa akimaanisha maushungi nasio wasukuma
Labda mkewe hataki kupaka perfume waandishi mtafuteni mkewe mumhoji kama huwa anapala au la na je umeme huwa anamletea hizo perfume maana linaonyesha anazijua hadi bei perfume za wanawakeDaah aisee mbona kama ana ugomvi nao
Hiyo kashifa itamg'oa mapema snDuh!
Amejuaje hawapaki manukato?
Kashifa mbaya snMwanza, Mwanza, Mwanza!
Kwa kweli mmebahatika kuwa na maRC wenye vituko...
Halafu hadi perfume za wanawake anazijua na bei zake kayajulia wapi hayo? Kuwa perfume nzuri ziko aina hii na hii na bei zake ziko hii na hii ya bei rahisi ni hiiDuh!
Amejuaje hawapaki manukato?
Acha kutulisha matango pori, Chato ni Wilaya iliyo ndani ya Mkoa wa GeitaNchi tamu Sana hii,
By the way huyu jamaa ni mpendwa wa mwendazake ndio maana alipewa Geita na Chato kwa pamoja usishangae alikuwa akimaanisha maushungi nasio wasukuma
Kwahiyo anapishana na Wanawake tu?Rahisi sana [ingawa huwezi kusema ni wote]!
Kama mfumo wako wa unusaji haujaharibika, ukipishana na mtu ambaye anatoa harufu au ukikaa naye karibu, utaisikia tu harufu, iwe ni mbaya au nzuri.