RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato

RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato

Kuna watu wanaamini wakiwaona mtu aliyenyoa nywele zote kichwani(kipara) ni mwizi/jambazi/kibaka!Sijamuongelea huyo RC.😂😂😂😂
 
Huyu baba mkoa wake unefanya vibaya sana kwenye matumizi ya fedha za uviko 19. Emu ajiangalie kwanza yeye
 
RC ajiangalie.
Zama hizi usipoeleweka unakalia kuti kavu.

Job alitoa maoni bila kuvunja sheria, kilichomkuta, mpaka leo huenda anajilaumu kwanini alizungumza.

RC anaweza kuwa kasema njema, ila namna inavyotafsiriwa na 'wapambe' inaweza kufanya majomboz kukotogeka.
 
Back
Top Bottom