RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato

Anampa ujumbe mke wake
 
Kuna watu wanaamini wakiwaona mtu aliyenyoa nywele zote kichwani(kipara) ni mwizi/jambazi/kibaka!Sijamuongelea huyo RC.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu baba mkoa wake unefanya vibaya sana kwenye matumizi ya fedha za uviko 19. Emu ajiangalie kwanza yeye
 
RC ajiangalie.
Zama hizi usipoeleweka unakalia kuti kavu.

Job alitoa maoni bila kuvunja sheria, kilichomkuta, mpaka leo huenda anajilaumu kwanini alizungumza.

RC anaweza kuwa kasema njema, ila namna inavyotafsiriwa na 'wapambe' inaweza kufanya majomboz kukotogeka.
 
Nchi tamu Sana hii,
By the way huyu jamaa ni mpendwa wa mwendazake ndio maana alipewa Geita na Chato kwa pamoja usishangae alikuwa akimaanisha maushungi nasio wasukuma
πŸ€£πŸ˜…πŸ€£ Bi Chura, si ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…