Rubondo RegionPendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubondo RegionPendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.
Hawana ubavu wenye mamlaka wakiamua hakuna kinachoshindikana.Muleba hawawezi kukubali ujinga wa kuchanganywa na watu wa Chato labda wawaingize kwa lazima. Zichukuliwe hizo jamii za watu wa Ngara,Kakonko,Biharamulo Bukombe na wenyewe Chato maana kitabia na kiutamaduni jamii zinazoshabiana sana. Tatizo la hizo jamii ni watu wake kuwa na akili ndogo,yaani hazinyumbuliki.
Badala ya kuchukua wilaya ya ngara bora wachukue muleba ndio iende chato, pia mkoa wa Geita utakuwa na Kabila moja washubi hii sio nzuri kwa umoja wa kitaifa
Kimsingi hizi wilaya na mikoa mipya tunasogeza wala rushwa karibu na wananchi,..mimi sijafika maeneo ya ukanda wa ziwa nyanza.
..lakini mnavyozungumza hapa napata picha kana kwamba tunapaswa kuanza upya zoezi la kugawa mikoa kwa ukanda huo.
..na nadhani ni BUSARA serikali kufikiria maeneo mengine ambayo kuna uhitaji wa kugawa mikoa badala ya kusikiliza kilio cha eneo moja tu.