RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

Badala ya kuchukua wilaya ya ngara bora wachukue muleba ndio iende chato, pia mkoa wa Geita utakuwa na Kabila moja washubi hii sio nzuri kwa umoja wa kitaifa
Hivi uko serious au??? Yaani kijiografia na kimila huwezi kuiondoa muleba kutoka Kagera
 
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe

RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera.

Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato unaopendekezwa utakuwa na wilaya 5 ambazo ni Kakonko kutoka Kigoma, Bihalamuro na Ngara kutoka Kagera na Bukombe na Chato yenyewe kutoka Geita.

Chanzo: ITV habari!

Kazi Iendelee
Haya mambo bhna;
[emoji117]Butiama ingekuwa Mkoa.
[emoji117]Mkuranga ingekuwa Mkoa.
[emoji117]Masasi ingekuwa Mkoa.
[emoji117]Chalinze/Msoga ingekuwa Mkoa.
Baada ya Chato, Makunduchi pia iwe Mkoa?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ila hii ni faida kwa Geita coz eneo la utawala litabaki dogo na mapato yataijenga vizuri Geita na mkoa wa Chato utaitegemea Geita kibiashara
 
Lakin bado ni mbali Sana. Yaan ushafika morogoro tayari ukitoka Dar.

Population density na population zinamata imagine kagera ina 3 million people,na density ya 120 people per square km. So ni sahihi Sana kuugawa.

Mkoa kama Dar ni mdogo na unawilaya nyingi sababu ni population density na population.

Ni upumbavu kutengeneza mkoa mpya Kwa sababu ya umbali Tu bila kuangalia population utakuwa mkoa wa nyasi Tu na mbuga mfano kama Lindi yenye density ndogo
Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.

Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
 
Mkuu hao viongozi wa mkoa nao wana kazi zao ambazo haziwezi kufanywa na afisa wa kata,so kama population imekuwa kubwa kwa nn wasisogezewe huduma ambazo hawazipati ngazi za chini
 
kuna baadhi ya watu shule walienda somea ujinga in Faiza's voice
 
Hahahahaha . . .yaani nimechoka mpaka Basi. Eti chenga ya mwili tangu kitambo like serious ? Ni kweli Biharamulo imekuwa nyuma sana kuliko hata Chato. Nilishangaa sana ile siku nilipofika Biharamulo. Yaani wilaya ya zamani ila miundombinu Sasa daaah
Pale wanasumbuliwa na umimi na ujinga, nimetembelea vijiji vyote wilaya nzima pale tatizo elimu ipo ipo ila fikra zao zimefungwa na kujifunga sana. Si wakazi asilia na baadhi ya wahamiaji
 
Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.

Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
Sasa mkoa unatengenezwaje bila kuangalia population na density?
Hebu kasome impact ya population na density kwenye utawala wa mkoa halafu uje kucomment tena.

Unafikiri wilaya za kigamboni na ubungo zingeanzishwa bila kuwa na population kubwa?
 
Ushetu siyo wilaya ni Haashauri. Na halamashauri ya Shy vujijini tayari iko Iselamagazi Nindo. Kwa hiyo Lohumbo haina vigezo
Maswa inaweza kurudishwa mkoa wa Shinyanga na tarafa ya Lohumbo inaweza kufanya wilaya mpya kama ilivyofanywa tarafa ya Ushetu kuwa wilaya. Yote haya yanawekana. Iacheni Kahama ijinafasi.
 
Hata watu walikuwa wachache
Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.

Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
 
Sasa mkoa unatengenezwaje bila kuangalia population na density?
Hebu kasome impact ya population na density kwenye utawala wa mkoa halafu uje kucomment tena.

Unafikiri wilaya za kigamboni na ubungo zingeanzishwa bila kuwa na population kubwa?
Mnaruka ruka tu. Hakuna sababu za msingi za kuanzisha mkoa mpya. Kama kigezo ni idadi ya watu, kwa akili zenu mngependekeza tugawanye na nchi ili awepo Rais atakayefikisha huduma zaidi kwa wananchi.

Ni heri uchukue muda wako kujielemisha kwa nini kuna halmashauri (councils) na wilaya/mikoa nchini. Wanaopeleka huduma sio mikoa ni halmashauri.
 
Hizo wilaya zinazounda mkoa wa Chato ni wilaya zilizokaliwa na warundi na wanyarwanda kuanzia Lafudhi hadi mila na desturi.
Mkuu hapa umekuja kiubaguzi zaidi. Kwa akili hizi ndio maana sisi watu wa Ngara huwa tunakumbana na ujinga uliopitiliza tukikutana na jamaa wa uhamiaji.

Mambo mengi ya kifala tunakutana nayo kisa tu kwetu ni Ngara. Wazee wetu waliitumikia awamu ya kwanza ya Nyerere kwa uaminifu mkubwa na walikuwa wakisafiri kwenda nje na kurudi kwa passport ya Tanzania sisi tumezaliwa na kusafiri nje na kurudi TZ kwa passport hiyo hiyo halafu mtoto mmoja mdogo anataka kukuletea dharau za kipuuzi.

Acheni kabisa haya maneno ya kuitana warundi ndio yale yale ya kuwadhalilisha wasukumu wakati ndio kabila kubwa kuliko yote nchi hii.
 
Badala ya kuchukua wilaya ya ngara bora wachukue muleba ndio iende chato, pia mkoa wa Geita utakuwa na Kabila moja washubi hii sio nzuri kwa umoja wa kitaifa
Mbona mkoa wa Iringa una kabila moja tu la Wahehe!
 
Back
Top Bottom