Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya.
Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za matibabu bure kama inavyostahili.
Mhe. Senyamule aliyasema hayo Septemba 23, 2026, wakati akitatua kero zilizowasilishwa na wazee katika mkutano ulioitishwa na Katibu wa NEC, Bi. Rabia Abdalla Hamid.