rosemary senyamule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RC ROSEMARY SENYAMULE: HUDUMA BORA KWA WAZEE NI KIPAUMBELE

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya. Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee Dodoma waombwa kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wazee wa mkoa huo kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025, na kuhakikisha vijana wanalinda amani ya nchi. Amesema wazee wanayo nafasi kubwa katika kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo, akibainisha kuwa Dodoma ya sasa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rosemary Senyamule, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ana kitu, anafaa kuwa Waziri awamu ya 2025-2030

    Huyu ni mwanamke wa shoka. Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano. Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa. N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
Back
Top Bottom