RC Ruvuma azindua Boti ya Uokoaji yenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.5

Mawazo ni mazuri ila utekelezaji sio sawa hiyo boat sio ya kuokoa na pia wangeaomba wataalamu ili wawasaidie kutoa ushauri kwa chombo sahihi ndio maana hata bei imekua kubwa kuliko thamani halisi ya hicho chombo..
Hiyo Durban boats sema wamekuibia haiwezi kuzidi rand 300,000 sawa na Tsh 50,000 ukitaka kubwa zaidi mpaka rand 700,000 au 1m za kuokoa zenye Yamaha mashine horse power kubwa 40hp kuendelea ziwepo tatu ni humo humo rand 300,000 tena inakua na chumba chini cha kukaa watu...
 
Hii awamu maghorofa yananyenyuka siyo mchezo!

Nchi imefunguka kwelikweli halafu kuna utakatishaji umehamia kwenye ujenzi wa apartments!
 
Majibu ya Gemini kuhusu makadirio ya bei ya boti.

Makadirio ya bei ya boti ya aina hii (ikiwa mpya na vifaa vyake vyote vya uokoaji na zimamoto) ni kama ifuatavyo:

Bei kwa Dola za Marekani (USD): Takriban $80,000 hadi $150,000 USD (au zaidi, kutegemea na ukubwa wa injini, spesi za alumini/fiberglass, na mitambo ya uokoaji iliyofungwa ndani).


Bei kwa Shilingi za Tanzania (TZS): Takriban Milioni 200 hadi Milioni 400 za Kitanzania (TZS).
 
Thamani yake kwa wenzetu unapata boti 3
 
Sema wanaotuongoza cjui Huwa wanaona aibu ,,kama hawajui c walete wazo hum jf wapate mawzo mapya Ili wasijidharirishe?
Hicho kimtumbwi ndo billion? Au kina mitambo kwa chini?
 
Ujinga tu
 
Sasa hyo billion ,?kodi zetu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…