Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Wabongo wezi sana aisee hapo bado magari ya Toyota LC 300 wanatoa bei kama wamenunua ndege..
Bonyeza allama<,urudi kwenye kichwa Cha habali utaonaNatafuta boti hiyo siioni kwenye picha
Naona mitumbwi tuBonye allama<,urudi kwenye kichwa Cha habali utaona
Sasa hyo mitumbwi ndo boti zenyewe,,vifaa vya kuokolea vipo kwa chini .yaan hyo boti Ina uwezo wa kuzunguka ziwa Tanganyika lote kwa sec Moja,,,hii ndo bongo dar es salaamNaona mitumbwi tu