RC Ruvuma azindua Coaster jipya lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
RC RUVUMA AZINDUA BASI JIPYA LA OFISIMkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahm...jpg

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Songea Club, RC Ahmed amewataka madereva kuzingatia kanuni za usalama barabarani na kulitunza gari hilo kwa kufanya matengenezo kwa wakati.

Amesisitiza kuwa fedha zilizotumika kununua gari hilo zinatokana na kodi za wananchi, hivyo ni wajibu wa watumishi kulinda mali za umma, kwani, iwapo litaharibika mapema, itakuwa hasara kwa wananchi waliotoa kodi.

Kwa upande wake, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu, Joel Mbewa, amesema basi hilo litasaidia kutatua changamoto za usafiri zilizokuwa zikikabili ofisi hiyo. Ameeleza kuwa litatumika kusafirisha watumishi kwa pamoja katika ziara mbalimbali, hatua itakayopunguza gharama za misafara.

Mbewa ameahidi kuwa ofisi hiyo itahakikisha gari linatunzwa ipasavyo kwa kufanya service kwa wakati na kuzingatia sheria zote za usalama barabarani.

RC RUVUMA AZINDUA BASI JIPYA LA OFISIMkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed.jpg
 
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imezindua rasmi basi jipya lililogharimu kiasi cha shilingi milioni 334 za Kitanzania.

Basi hilo limezinduliwa tarehe 18 Septemba 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed.

Hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Songea Klabu mkoani humo.

Usafiri huo mpya unatarajiwa kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na shughuli mbalimbali za kiofisi za Mkoa wa Ruvuma.

IMG_2057.jpeg
 
View attachment 3674070

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Songea Club, RC Ahmed amewataka madereva kuzingatia kanuni za usalama barabarani na kulitunza gari hilo kwa kufanya matengenezo kwa wakati.

Amesisitiza kuwa fedha zilizotumika kununua gari hilo zinatokana na kodi za wananchi, hivyo ni wajibu wa watumishi kulinda mali za umma, kwani, iwapo litaharibika mapema, itakuwa hasara kwa wananchi waliotoa kodi.

View attachment 3674071

Kwa upande wake, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu, Joel Mbewa, amesema basi hilo litasaidia kutatua changamoto za usafiri zilizokuwa zikikabili ofisi hiyo. Ameeleza kuwa litatumika kusafirisha watumishi kwa pamoja katika ziara mbalimbali, hatua itakayopunguza gharama za misafara.

Mbewa ameahidi kuwa ofisi hiyo itahakikisha gari linatunzwa ipasavyo kwa kufanya service kwa wakati na kuzingatia sheria zote za usalama barabarani.

View attachment 3674072
Duu hilo rosa la milioni 45 ndio wamenunua bri hiyo??amaa kweli nchi inaliwa
 
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imezindua rasmi basi jipya lililogharimu kiasi cha shilingi milioni 334 za Kitanzania.

Basi hilo limezinduliwa tarehe 18 Septemba 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed.

Hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Songea Klabu mkoani humo.

Usafiri huo mpya unatarajiwa kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na shughuli mbalimbali za kiofisi za Mkoa wa Ruvuma.

View attachment 3674064
Hivi izo bus aina iyo ya coaster zina gharimu ghalama iyo kweli au ni ujanja maana niliona pia halmashauri ya mbinga imenunua basi kama ilo kwa milion 300 nk
 
Ndo urefu wa kamba Yao, enzi za JPM hakuna mtu angejaribu huu usenge. Kama haya ndio matumizi ya Kodi zetu utaweza kumhimiza mtu asikwepe kulipa Kodi? Siku huyu mwanamke atakaporudi kwao sijui Mama Tanganyika atakuwa katika hali gani.
 
Asa mbona Toyota Tanzania wanaiuza Mil 250. Same car, au nyingine ya delivery Ruvuma?
 
Back
Top Bottom