Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Sidhani kama Serikali wanalipishana kodi, hapa Sina utaalamu mkuu.Mkuu...kwa hizi bei sio kwamba ifikia huko huko ukiweka na kodi?
Sidhani kama Serikali wanalipishana kodi, hapa Sina utaalamu mkuu.Mkuu...kwa hizi bei sio kwamba ifikia huko huko ukiweka na kodi?
Hapo bado TRAView attachment 3674078
Toyota Tanzania, 0 km chuma Mil 250. Dah
Nchi imeozaDuu hilo rosa la milioni 45 ndio wamenunua bri hiyo??amaa kweli nchi inaliwa
Wangepata mbili hapa, kitu cha 2026View attachment 3674066
Wanalipia Mkuu. Rejea ile taarifa kipindi cha late JPM kwa magari ya polisi zaidi ya 700 yaliyokuwa yamekwama bandarini baada ya kushindwa kulipia kodi hadi alipoingilia kati na kuamuru yatolewe na kodi italipwa taratibuSidhani kama Serikali wanalipishana kodi, hapa Sina utaalamu mkuu.
😂😂😂Nyie kutoka Japan hadi Songea ni mbali mjue..! Mschukulie Poa!
😂😂😂Inanunua vichwa vya treni rejea Sheria ya ununuzi wa umma mwaka 2023 na kanuni zake za 2024
😂😂😂 ila wewe,Asa mbona Toyota Tanzania wanaiuza Mil 250. Same car, au nyingine ya delivery Ruvuma?
😂😂😂Kwa mbele pale jina la kampuni ni benz 😂 costa ya benzi