Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Utazimia ukiliona hilo basi lenye thamani hiyo,bora hata asiilete mkuu.Picha
Duu hilo rosa la milioni 45 ndio wamenunua bri hiyo??amaa kweli nchi inaliwaView attachment 3674070
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Songea Club, RC Ahmed amewataka madereva kuzingatia kanuni za usalama barabarani na kulitunza gari hilo kwa kufanya matengenezo kwa wakati.
Amesisitiza kuwa fedha zilizotumika kununua gari hilo zinatokana na kodi za wananchi, hivyo ni wajibu wa watumishi kulinda mali za umma, kwani, iwapo litaharibika mapema, itakuwa hasara kwa wananchi waliotoa kodi.
View attachment 3674071
Kwa upande wake, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu, Joel Mbewa, amesema basi hilo litasaidia kutatua changamoto za usafiri zilizokuwa zikikabili ofisi hiyo. Ameeleza kuwa litatumika kusafirisha watumishi kwa pamoja katika ziara mbalimbali, hatua itakayopunguza gharama za misafara.
Mbewa ameahidi kuwa ofisi hiyo itahakikisha gari linatunzwa ipasavyo kwa kufanya service kwa wakati na kuzingatia sheria zote za usalama barabarani.
View attachment 3674072
Ni kama hilohilo mkuu,Wangepata mbili hapa, kitu cha 2026View attachment 3674066
Hivi izo bus aina iyo ya coaster zina gharimu ghalama iyo kweli au ni ujanja maana niliona pia halmashauri ya mbinga imenunua basi kama ilo kwa milion 300 nkOfisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imezindua rasmi basi jipya lililogharimu kiasi cha shilingi milioni 334 za Kitanzania.
Basi hilo limezinduliwa tarehe 18 Septemba 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed.
Hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Songea Klabu mkoani humo.
Usafiri huo mpya unatarajiwa kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na shughuli mbalimbali za kiofisi za Mkoa wa Ruvuma.
View attachment 3674064
Serikali inanunua Zero KM. Sheria yetu ya manununuzi ina mlolongo mrefu sana jambo linalopelekea kuongezeka gharama zinazoweza kuepukikaWangepata mbili hapa, kitu cha 2026View attachment 3674066
Wangepata mbili hapa, kitu cha 2026View attachment 3674066
Mkuu...kwa hizi bei sio kwamba ifikia huko huko ukiweka na kodi?Wangepata mbili hapa, kitu cha 2026View attachment 3674066
Picha IPO, Hela imepigwa!Utazimia ukiliona hilo basi lenye thamani hiyo,bora hata asiilete mkuu.
Inanunua vichwa vya treni rejea Sheria ya ununuzi wa umma mwaka 2023 na kanuni zake za 2024Serikali huwa hainunui mali yeyote mkono wa pili
Yaani acha tu. Wazee wa procurement hawakuelewi kukileta story za mtu kati vSerikali huwa hainunui mali yeyote mkono wa pili
Serikali inanunua Zero KM. Sheria yetu ya manununuzi ina mlolongo mrefu sana jambo linalopelekea kuongezeka gharama zinazoweza kuepukika