rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wao wanajinasibu ni sehemu ya tawi la chama tawala.Utopolo umechanganya mada hata kama ulikuwa na nia nzuri imekuwa mbaya.
Ulozi umetoka wapi katika ujinga aliofanya Mtanda?
Wamezoea kufanya ya hovyo kwenye siasa na wamezoea sasa wanaleta mpaka kwenye mpira?
Wamezoea kila kitu wafanyacho kumtaja Rais Samia, nasi tunawaambia wana Simba kuwa aliyotenda Mtanda ndio falsafa ya Rais Samia kwa hiyo ikiwapendeza "mitano tena" maana lazima "timu ya kijani" itafutiwe ubingwa bila hofu kwani ni ya chama.
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa, yeye kuwa shabiki wa timu sio shida ila shida inakuja pale unapotumia cheo chako kunyanyasa watu wa timu nyingine na kuhatarisha amani ya sehemu husika.1. Kuwa mlezi wa Pamba amefanya kosa lipi?
2. Kuwa mwanachama wa Yanga ni kosa?
3. Hizo hasira binafsi unaweza kuzithibitisha kama ulivyo tuhumu?
Unaelewa maana mgongano wa maslahi kweli? Tena kwa kukosa weledi1. Kuwa mlezi wa Pamba amefanya kosa lipi?
2. Kuwa mwanachama wa Yanga ni kosa?
3. Hizo hasira binafsi unaweza kuzithibitisha kama ulivyo tuhumu?
WEwe ni mpumbavu na nusu. Yaan mtu aingie na silaha uwanja wa mazoezi awazuie viongozi wa timu afu unaongea usenge hapa. ManyokoYaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?
Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
Wewe mwenyewe paragraph ya tatu imekuonyesha una conflict of interest. Yaani wewe ni Simba. Kwa hiyo huna mamlaka ya kimaadili.🙏🙏🙏Mkuu wa mkoa wa Kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika adharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest
1. Ni mlezi wa club ya Pamba
2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba
3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.
Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?
Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
Hakuna kiongozi Mpuuzi kama huyu! Rc na DC ni vyeo vya kikoloni TU! Ccm wanavikumbatia Kwa maslahi ya kisiasa!Kuna nafasi 2 tu ambazo mtu akipewa hata kama alikuwa na akili,akili hizo zitamtoroka mhusika na kumuacha na kichwa kitupu,nafasi hizo ni u-RC na u-DC
Nilichouliza ni uthibitisho wa huyo mleta mada maana yuko subjective.Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa, yeye kuwa shabiki wa timu sio shida ila shida inakuja pale unapotumia cheo chako kunyanyasa watu wa timu nyingine na kuhatarisha amani ya sehemu husika.
Fuatilieni mambo ya msingi, siyo kufuatilia ulozi na mpiraWEwe ni mpumbavu na nusu. Yaan mtu aingie na silaha uwanja wa mazoezi awazuie viongozi wa timu afu unaongea usenge hapa. Manyoko
NyokoFuatilieni mambo ya msingi, siyo kufuatilia ulozi na mpira
🤣 🤣 🤣Kuna nafasi 2 tu ambazo mtu akipewa hata kama alikuwa na akili,akili hizo zitamtoroka mhusika na kumuacha na kichwa kitupu,nafasi hizo ni u-RC na u-DC
Cheo Cha kuhongwa kama demMkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest
1. Ni mlezi wa club ya Pamba
2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba
3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.
Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?
Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
Mkuu,Huyu jamaa mkuu wa mkoa wa mwanza ana Elimu gani? Maana ukimsikiliza au kumwangalia tu unaona kama vile ndo hivyo tena. Shida ni nini?
Huyu ndo kipindi kile alihusishwa na kutaka izima kesi ya yule binti ambaye alinajisiwa na mkuu wa Wilaya? Aiseee... Yaani kuna nguvu tu wakati mwingine zinawaweka hawa watu maeneo waliyopo.
Mtu mwenye akili au uelewa hata ukimwona tu unaweza mhisi kwa asilimia hata 80 .na kinyume chake pia is true. Huyu jamaa ukimwangalia tu unaona kichwani hamna kitu.