Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest
1. Ni mlezi wa club ya Pamba
2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba
3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.
Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?
Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?