RC Said Mtanda amekuwa akituhumiwa kwa matendo yasiyo ya kiuongozi. Je, kwa alichowafanyia viongozi wa Simba atabakishwa ofisini?

RC Said Mtanda amekuwa akituhumiwa kwa matendo yasiyo ya kiuongozi. Je, kwa alichowafanyia viongozi wa Simba atabakishwa ofisini?

Utopolo umechanganya mada hata kama ulikuwa na nia nzuri imekuwa mbaya.
Ulozi umetoka wapi katika ujinga aliofanya Mtanda?
Wamezoea kufanya ya hovyo kwenye siasa na wamezoea sasa wanaleta mpaka kwenye mpira?
Wamezoea kila kitu wafanyacho kumtaja Rais Samia, nasi tunawaambia wana Simba kuwa aliyotenda Mtanda ndio falsafa ya Rais Samia kwa hiyo ikiwapendeza "mitano tena" maana lazima "timu ya kijani" itafutiwe ubingwa bila hofu kwani ni ya chama.
Wao wanajinasibu ni sehemu ya tawi la chama tawala.
 
1. Kuwa mlezi wa Pamba amefanya kosa lipi?
2. Kuwa mwanachama wa Yanga ni kosa?
3. Hizo hasira binafsi unaweza kuzithibitisha kama ulivyo tuhumu?
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa, yeye kuwa shabiki wa timu sio shida ila shida inakuja pale unapotumia cheo chako kunyanyasa watu wa timu nyingine na kuhatarisha amani ya sehemu husika.
 
1. Kuwa mlezi wa Pamba amefanya kosa lipi?
2. Kuwa mwanachama wa Yanga ni kosa?
3. Hizo hasira binafsi unaweza kuzithibitisha kama ulivyo tuhumu?
Unaelewa maana mgongano wa maslahi kweli? Tena kwa kukosa weledi

Kwanini apigiwe simu RC na sio DC wa wilaya husika?

Kwanini asipigiwe simu OCS wa kituo cha karibu zaidi na uwanja wa CCM kirumba kama kulikua na viashiria uvunjifu wa amani.
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
WEwe ni mpumbavu na nusu. Yaan mtu aingie na silaha uwanja wa mazoezi awazuie viongozi wa timu afu unaongea usenge hapa. Manyoko
 
Mkuu wa mkoa wa Kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlka kwa makusudi zikamwacha ofisini

Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika adharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest

1. Ni mlezi wa club ya Pamba

2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba

3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.

Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?

Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
Wewe mwenyewe paragraph ya tatu imekuonyesha una conflict of interest. Yaani wewe ni Simba. Kwa hiyo huna mamlaka ya kimaadili.🙏🙏🙏
 
Kuna nafasi 2 tu ambazo mtu akipewa hata kama alikuwa na akili,akili hizo zitamtoroka mhusika na kumuacha na kichwa kitupu,nafasi hizo ni u-RC na u-DC
Hakuna kiongozi Mpuuzi kama huyu! Rc na DC ni vyeo vya kikoloni TU! Ccm wanavikumbatia Kwa maslahi ya kisiasa!
 
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa, yeye kuwa shabiki wa timu sio shida ila shida inakuja pale unapotumia cheo chako kunyanyasa watu wa timu nyingine na kuhatarisha amani ya sehemu husika.
Nilichouliza ni uthibitisho wa huyo mleta mada maana yuko subjective.
Kama ni hayo usemayo na yana ushahidi usiotia shaka ana makosa, lakini siyo petty issues za kuwa mlezi mara ni mwanachama/mshabiki wa timu fulani au ana chuki binafsi.
Who allege must prove
 
WEwe ni mpumbavu na nusu. Yaan mtu aingie na silaha uwanja wa mazoezi awazuie viongozi wa timu afu unaongea usenge hapa. Manyoko
Fuatilieni mambo ya msingi, siyo kufuatilia ulozi na mpira
 
Hawezi kuwajibishwa ana mizizi mirefu.sana. litapita kama la.dr.Nawanda
 
Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini

Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest

1. Ni mlezi wa club ya Pamba

2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba

3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.

Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?

Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
Cheo Cha kuhongwa kama dem
 
Huyu jamaa mkuu wa mkoa wa mwanza ana Elimu gani? Maana ukimsikiliza au kumwangalia tu unaona kama vile ndo hivyo tena. Shida ni nini?

Huyu ndo kipindi kile alihusishwa na kutaka izima kesi ya yule binti ambaye alinajisiwa na mkuu wa Wilaya? Aiseee... Yaani kuna nguvu tu wakati mwingine zinawaweka hawa watu maeneo waliyopo.

Mtu mwenye akili au uelewa hata ukimwona tu unaweza mhisi kwa asilimia hata 80 .na kinyume chake pia is true. Huyu jamaa ukimwangalia tu unaona kichwani hamna kitu.
 
Yan mada h n kutokana na simba? Mashabiki wa simba na Yanga mna usengerema sana sana aisee, mmeshakubali kuwa wapumbavu kisa hizo timu.
 
Siyo lazima kila binadamu aishi kadiri binadamu wengine watakavyo ,,yawezekana hata wewe kuna watu wanajiuliza maswali kama hayo juu yako ila hujajua tu ,,Ishi kadiri uwezavyo na siyo kwa kumfurahisha kila mwanadamu utakuwa mtumwa
 
Huyu jamaa mkuu wa mkoa wa mwanza ana Elimu gani? Maana ukimsikiliza au kumwangalia tu unaona kama vile ndo hivyo tena. Shida ni nini?

Huyu ndo kipindi kile alihusishwa na kutaka izima kesi ya yule binti ambaye alinajisiwa na mkuu wa Wilaya? Aiseee... Yaani kuna nguvu tu wakati mwingine zinawaweka hawa watu maeneo waliyopo.

Mtu mwenye akili au uelewa hata ukimwona tu unaweza mhisi kwa asilimia hata 80 .na kinyume chake pia is true. Huyu jamaa ukimwangalia tu unaona kichwani hamna kitu.
Mkuu,
Ungetupia video yake tumsikie basi
 
Ila hili suala limeonesha ujinga mkubwa sana wa mashabiki wa Simba wakiongozwa na kisugu na pasi milioni
Ujinga ni mwingi sana hadi aibu kwa nchi
 
Back
Top Bottom