RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Hata kama mke wako akikataa usimuingilie kimwili na wewe ukafanya kwa nguvu siyo kubaka?
Tanzania, hata mkeo akikataa, as long as ni mke wako, hujabaka. hiyo ni mali yako. isipokuwa kulawiti ndio kosa, na kama mke akikubali kulawitiwa wote mnashitakiwa na wote mnafungwa, ila kwa sehemu za siri za mbele, mke hata akigoma ukalazimisha sio kosa. hakuna kifungu. ile lack of consent imewekwa kwa mtu ambaye "sio mke wako". mke hakuna requirement ya consent.

nchi za ulaya na marekani zote mke akigoma ukilazimisha ni kosa la kubaka, ila nchi nyingi zenye influence ya uislam kama Tanzania, hilo sio kosa kwasababu tamatudi zake mwanamke kanyimwa haki nyingi sana.
 
Huyu demu na huko songea si alishashtaki mambo haya haya na mtu akaenda jela? Ina maana ni mchezo wake kula hela za watu na kublackmail si ajabu hapo dau ndio linaloshindaniwa , huyu binti aache tamaa
 
Wote hakuna kitu mpaka leo kesi haijafika mahakamani kwanini?
 
DCP ni cheo Cha juu sana jeshini. Wanamzidi IGP na CP pekee. Kimpunga anakusanya parefu na Hana muda wa kujipendekeza Kwa rc coz hata akitumbuluwa urpc anahamia makao makuu anapewa pick up p, dereva na mlinzi.

Rc akiliwa kichwa anaenda kuluma pilipili.


Mtafungwa is amenyooka infact
 
Courage hiyo inaashiria binti Yuko kwenye stage ya hasira kali si unajua ukiwa kwenye hasira unaweza Fanya tukio kubwa
'Yes and No' kama ambavyo baadhi ya watu huwa wakijibu. Sitaki kudhani kwamba huyu binti hakufanyiwa hivyo anavyodai. Lakini kwa upande mwingine, najaribu ku'recall' baadhi ya matukio ya huko nyuma. Kuna mkuu fulani aliwahi kuhusishwa na kumtelekeza binti yake aliyezaa na mke mwingine (kama alivyotuhumiwa) na huyo binti akajitokeza hadharani, akidai huyo mkuu ni baba yake na amemtelekeza. Lakini baada ya muda kupita, huyo binti alijitokeza tena na kuomba radhi, kwamba alifanya hivyo kwa sababu za kisiasa, na kwamba huyo mkuu siyo baba yake. Hivyo, tuhuma zinaweza kuwa kweli au zisiwe kweli. Tusubiri ukweli wake utajulikana. Lakini pia ilishawahi kutokea mkuu mwingine alipojitokeza kugombea, kulitokea mtu hadharani akidai huyo mkuu kachukua mke wake na kwamba huyo mtu alikuwa ameshafungua kesi ya madai mahakamani, lakini huyo mkuu aliposhindwa kwenye uchaguzi, huyo mtu hakutokea tena na wala kesi yake sijawahi kuisikia tena.
 
Hakuzima alishauri tu kama mzazi.
 
Hii kesi ina mengi yakusema kuhusu viongozi wa kiafrika
 
Mkuu ninachokupenda Kila jambo utakalolieleza lazima conclusion yake uihusianishe na ubaya WA CCM... Kwa ninavyoichukia ccm najikuta napenda uandishi wako..
 
Ukichunguza saaana utaambiwa mmoja wao hapo ni mtumishi wa ile idara yao ya ikulu. Sijui wanaajiri watu wa aina gani lakini 'intelligence' na uadilifu sio priority.
 
Ma rc wa hovyo
 
Binti sioni tena kama ataendelea na masomo..ila kwenye maisha mlinzi wa kwanza wa usalama wa maisha ya mtu ni mtu Mwenye kabla ya polisi hiyo bar ya the cask ni eneo la udangaji na guest Huwa ni magari hayo hayo...miezi sita ni mingi sana sidhani kama rc hajawahi kumlazimisha huyu bint kufanya huo uchafu Binti alitakiwa kumuepuka jamaa mapema mno sema tu umasikini wetu nao Binti ukute alikuwa na njaa hiyo siku akajua hata atarudi na chips kuku take away..na binti inaonyesha alikuwa anamlilia sana njaa rc na kumuelezea njaa za kwao hd dada mtu kukosa kazi kitu ambacho Huwa kinaleta dharau hata kwenye ndoa mtu akijia maskini automatically anakudharau so rc alijua binti hatofanya chochote au pengine angezoea hako kamchezo
 
Binti ufirimbwe afu uende kujionesha kwenye media kwamba mimi ndo nilie firimbwa tena comfortably
 
binti kaahirisha mwaka, ataendelea mwakani. watu wanasema sijui anajiharibia maisha, hujawahi kuona watu wanaoa malaya wakujiuza kabisa?
 
Shida na usalama wake pia si unajua tena hawa wana siasa na ushetani wao
polisi wanamlinda, Mungu kwanza ndio anamlinda, pia, hata akipata shida ameshajulikana muuaji atakuwa nani. na hata akipata madhara sio kwamba kesi itaisha, maelezo yake ya ushahidi yanatosha hata asipokuja mahakamani, vitatosha kiushahidi. wanasheria tunajua hili. hivyo RC asihangaike akifikiri akimpoteza kesi imeisha never, ipo pale pale na laana itazidi juu yake zaidi.
 
Ila Binti angejua angeachana nae mapema sana maana mwanaume anaependa tigo ni htr Kwa afya hata asipofanya na ww Kuna wengine atafanya nao si UTI sugu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…