RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Hapa ndo utaona tofauti ya mtu mweupe na mtu mweusi, huyu sijui RC Mtando hafai tena kuwa RC au hata m/kiti wa kijiji hana maadili ila eti mpaka sasa bado hajatumbuliwa.

Kwa kuangalia mazingira ya sakata na desturi za viongozi wengi weusi inaonesha ni kweli Mr Mtando amehusika kujaribu kuzuia haki za kisheria za binti zisimfikie. Hii ni aibu kubwa kwa serikali na nchi na wateule kama hawa ndo wanashusha thamani ya Mh Rais. Mama amuondoe kulinda heshima ya kazi yake nzuri.

Hii ni kwamba hata pale raia wa bongo wanapojaa tabasamu na kububujikwa na machozi ya furaha kwa kazi nzuri za Mama kwa mujibu wa Lucas , majitu kama haya sijui Mtando yanashusha furaha hizo na kuondoa thamani ya kazi nzuri za Mama.
 
aise!!
Viongozi wanapaswa kuheshimu Utawala wa Sheria ambao Rais wetu kila kukicha anahimiza ufuatwe na uheshimiwe.

Kila mara nasema viongozi wengi hawana maadili, wengi wao ni wazinzi na wanasaliti wa ndoa zao.....sasa kiongozi akiwa mzinzi anawezaje kutenda haki kwa anao waongoza??!!! hili ndio tatizo kubwa tulilo nao kwa viongozi wetu wanao teuliwa. uhuni.uzinzi!!!!

Nimemsikia binti Jana kwenye taarifa ya habari azam utv 5.7.2024 usiku akiomba msaada kutoka kwa Mhe. RAIS, nilishangaa!! inakuwaje aombe msaada kutoka kwa Rais wakati RC yupo?
 
Kutokana na Hii Kesi wanaume tuwe makini sana.. mabinti wengi waliolawitiwa wanaweza kukulengesha uwalawiti hata kwa kutelezeshea na kisha kukutaka Uwape hela Nyingi Sana kinyume na makubaliano na kisha wanakupeleka mahakamani.

Huyo binti alipata Michubuko inayoashiria Ubakwaji? Maana kwa tukio la kwenye gari lingeweza kumsababishia marinda kutatuka na damu kumwagika.
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Mjinga Mmoja wewe.

Watu aina ya RC MTANDA wanahitajika zaidi hapa Nchini.

Kwenda huko na kamalaya Kako, haki Katoto ni kamalaya kanajiuza
 
UONGO
 
Mjinga Mmoja wewe.

Watu aina ya RC MTANDA wanahitajika zaidi hapa Nchini.

Kwenda huko na kamalaya Kako, haki Katoto ni kamalaya kanajiuza
Wewe kilaza mtetezi wa walawiti hujielewi,
Kesi ya Nawanda ni nyepesi kuliko ile ya wanaodaiwa makahaba waliokamatawa na Hassan Bomboko
#Justice to Tumsiime.
 
Mabinti mkipata nafasi ya kusoma someni acheni tamaa na ujinga.
Narudia tena kuwa nitakuwa wa mwisho kukubali kuwa anachokisema huyu Binti mdogo sana ndivyo kilivyo.....yalishawahi kujitokeza ya aina hii.
 
Sema hii issue iko complicated ukizingatia anadai “walikuwa wapenzi” kwa miezi sita.
Mkuu jmushi1 hakuna u-complicated wowote. Kwa wapenzi siyo certificate ya kutofamfanyia ubaya. Binti kaelezea vizuri na kakubali walikuwa wapenzi. Kasema lengo la jamaa tangu wakutane ni kumwingilia nyuma lakini binti akakataa. Akasema alimwita ili aombe msamaha na kama ni mapenzi wafanye kwa njia ya kawaida. Kufika pale akatumia nguvu na vitisho kumlawiti. Kwa nini kesi isipelekwe mahakamani ili sheria ipime maelezo yao? Kwa nini RC wa Mwanza aingilie kutaka kesi isiende mahakamani? Kwa nini huyo RC alimpa sh milioni kumi kama hana anachoogopa? Kuna watu wanadai ni ksei ya kisiasa, je hao wanasiasa wasiompenda huyo RC ndiyo walimtuma afanye yote hayo? Ukweli ni kwamba inawezekana kabisa ni kweli na huu ndiyo mchezo wa wengi ya hawa wahuni wa CCM.
 
Hivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?

Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
mtu hahukumiwi kwa tuhuma bro
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Mtu ameshasema alikuwa mpenzi wake sasa tukiulize imekuwaje hadi aanze kulalamika leo huyu binti kuna kitu anatuficha ,kiufupi kanatumika na maadui wa huyo mpenzi wake
 
Kuwa wapenzi sio kibali cha kulawiti,
Hata mke wako wa ndoa wa miaka 30 ukimlawiti ni kosa la jinai kwa sheria za nchi hii.
Sema tena na tena. Unajua sisi wabongo wengi tumejaa mfumo dume. Kuwa mwanamke madhali ni mke au mpenzi wako basi una uhuru wa kumfanya chochote. Utasikia wanasema ''alibakwa? alikuwa anafanya nini chumbani kwa huyu mwaume''. Au ''msichana mdogo namna hiyo alitoka wapi usiku mpaka akalawitiwa''. Kwanza wengi hawajui kuwa kumlaumu mwathiriki wa aina hiyo ni kosa kisheria.
 
Upo sahihi lakini hebu jaribu kugeuza upande wa pili. What if unhekuwa ni wewe umefanya hivyo au ndugu yako halafu kiongozi anajaribu kuku fightia kama hivyo, ungeandika huu uzi? Au undelete uzi wa kumsifia? Au kwa sababu tatizo halijakukuta wewe? Kela sio pazuri ndugu yangu kumbuka
 
Hivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?

Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
Usisahau kuwa tabia ya ulawitiimekithiri Zazibar, hiyo hiyo roho ya ulawiti iko juu pamoja na usagaji uko jikoni kabisa
 
Upo sahihi lakini hebu jaribu kugeuza upande wa pili. What if unhekuwa ni wewe umefanya hivyo au ndugu yako halafu kiongozi anajaribu kuku fightia kama hivyo, ungeandika huu uzi? Au undelete uzi wa kumsifia? Au kwa sababu tatizo halijakukuta wewe? Kela sio pazuri ndugu yangu kumbuka
Acha kuandika ujinga
 
Mimi nauliza tu...yaani hiyo binti alienda kufanya nini hotelini pamoja na huyo RC?

Kwahiyo kama "angembwato" tu asingekuja kuutangazia umati kuwa katoa mbususu kwa RC kwa ridhaa yake ?

Kula jicho sio jambo jepesi kama mwanamke akikukazia huwezi kuingiza hata kichwa tu katika "Mnduku" wake! Vp huyo binti alitulia tu kuanzia kupakwa vilainishi "Parachute,KLY gel,Durex n.k" mpaka kichwa kinaingia na mkia wake na jamaa anapiga tako zake mpaka anamwagia!

Alishindwa kweli kupiga kelele za kuomba msaada?

Angesema kuwa amewekewa drugs kwenye kinywaji,amepigwa na kufungwa mikono na mdomo au kashikiwa bunduki ndio atoe jicho hapo angeeleweka vizuri. Kinyume na hapo kuna mashaka mengi aisee
 
Back
Top Bottom