RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Mawazo yako ni ya kiwaki sana.
Ufike wakati tuuchukie ubaya hata ukitendwa na baba yako
 
Binti ameeleza alivyoingia ndani ya gari jamaa aka-lock milango na kuanza kumlawiti pamoja na juhudi zote za kujinasua ilishindikana.
 
Mabinti mkipata nafasi ya kusoma someni acheni tamaa na ujinga.
Narudia tena kuwa nitakuwa wa mwisho kukubali kuwa anachokisema huyu Binti mdogo sana ndivyo kilivyo.....yalishawahi kujitokeza ya aina hii.
Kama wanaodaiwa ni makahaba na Hassan Bomboko wameweza kufikishwa mahakamani kwa haraka sana bila hata kuwa na wateja wao kipi kinashindikana kumfikisha Nawanda mahakamani wakati Tumsiime anayelalamika kulawitiwa yuko tayari kutoa ushahidi wake mahakamani na hadi kuna ushahidi wa miamala ya simu, benki na ushahidi wa meseji na sauti za simu??
 
Umewahi kula, kuliwa, kujaribu kula au kuliwa jicho ukaupata huo uzoefu ??
Sasa hapa si ndio hii kesi ingepelekwa mahakamani ili wataalamu mbalimbali waliojaribu kula au kuliwa jicho waileze mahakama ugumu wake ili kumnasua Nawanda
 
Viongozi wetu wamepewa vyeo kama chaka la kufichia upuuzi wao,haiingii akilini kiongozi mkubwa wa cheo cha mkuu wa mkoa kufira mtoto,bado hapo hapo kiongozi wa cheo kile kile kutetea mambo ya ufiraji kwa misingi ya ukabira
Hao ma-RCs wangekuwa kabila lile JF ingechafuka vibaya sana!
 
Hizi nafasi za kuteuana kwa upendeleo zinatuletea watu wajinga sn, tunataka watu waombe hizi nafasi waeleze wanaenda kuwafanyia nini watanzania na siyo kwenda kukusanya rushwa na kumsifia aliyewateua
 
Huyo binti ni malaya tu.

RC alikuwa na nia njema ya kutaka wayamalize kimya kimya, alikuwa kishafahamu wana mahusiano.
 
Binti mpaka anashtaki inaashiria aliingiliwa kwa nguvu, angeridhia asingekuwa na haja ya kushtaki. Kuwa wapenzi siyo shida, shida ni kuingiliwa kinyume.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe anadai ripoti ya daktari inaeleza kila kitu ndiyo maana tunataka kesi hii ipelekwe haraka mahakamani, kama Nawanda kamlawiti huyo binti basi achukue mvua zake za kutosha, na kama binti anatumika kumchafua jamaa basi sheria ifuate mkondo wake.
 
Alipiga kelele ila hakupata msaada! Hoja hapa ni kwamba ulawiti ulitokea na binti amelalamika kufanyiwa hiko kitendo ambacho pia vipimo vinaonesha kufanywa na Dr. Nawanda. Ni jukumu la Nawanda kuthibitisha ilikuwa kwa hiari japo haitamsaidia chochote.

Tukio lile kwa mujibu wa CCTV lilifanyika ndani ya gari tena parking; Nawanda aithibitishie mahakama kama yale ni mazingira ya kawaida ya kufanyia mapenzi na sio mazingira ya ubakaji! Hii kesi sio nyepesi unavyofikiria ikiingia anga za Adv. Kibatala or similar ones.
 
Sahihi kabisa.
 
Huyo binti ni malaya tu.

RC alikuwa na nia njema ya kutaka wayamalize kimya kimya, alikuwa kishafahamu wana mahusiano.
Hata kama ni malaya kama Nawanda kweli amemlawiti haimtoi kwenye hatia ya ulawiti . Na pia hii haimtoi Mtanda kwenye kosa la kutaka kuzuia utaratibu wa Polisi kufanya kazi yao, kumbuka hili ni kosa la jinai siyo kesi ya madai.
 
Mjinga Mmoja wewe.


Watu aina ya RC MTANDA wanahitajika zaidi hapa Nchini.



Kwenda huko na kamalaya Kako, haki Katoto ni kamalaya kanajiuza
Kumbe kuna baadhi ya wateule wa Rais nao wananua malaya wanaojiuza kama Yahaya Nawanda!? Sasa zile operation za kuwakamata ma dada poa na kuwapeleka mahakamani huwa ni za nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…