Mimi naamini kuwa hajalawitiwa, hivi alilawitiwa kwa kufanywa kwa nguvu?Hata kama ni malaya kama Nawanda kweli amemlawiti haimtoi kwenye hatia ya ulawiti . Na pia hii haimtoi Mtanda kwenye kosa la kutaka kuzuia utaratibu wa Polisi kufanya kazi yao, kumbuka hili ni kosa la jinai siyo kesi ya madai.
Wewe ulisikia kabakwa?Wewe ukilawitiwa na RC uko tayari myamalize Kimya kimya? Why kimya kimya?
Kule ccm, misikitini na makanisani viwango vya ushoga vipo juu sana!Hivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?
Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
Sawa mkuu nimekupata. Hata sikuwa nimetizama hiyo video clip.Mkuu jmushi1 hakuna u-complicated wowote. Kwa wapenzi siyo certificate ya kutofamfanyia ubaya. Binti kaelezea vizuri na kakubali walikuwa wapenzi. Kasema lengo la jamaa tangu wakutane ni kumwingilia nyuma lakini binti akakataa. Akasema alimwita ili aombe msamaha na kama ni mapenzi wafanye kwa njia ya kawaida. Kufika pale akatumia nguvu na vitisho kumlawiti. Kwa nini kesi isipelekwe mahakamani ili sheria ipime maelezo yao? Kwa nini RC wa Mwanza aingilie kutaka kesi isiende mahakamani? Kwa nini huyo RC alimpa sh milioni kumi kama hana anachoogopa? Kuna watu wanadai ni ksei ya kisiasa, je hao wanasiasa wasiompenda huyo RC ndiyo walimtuma afanye yote hayo? Ukweli ni kwamba inawezekana kabisa ni kweli na huu ndiyo mchezo wa wengi ya hawa wahuni wa CCM.
Ndiyo maana muathirika anaomba msaada kwa Rais ili kesi yake ipelekwe mahakamani na ukweli wote ujulikane!!mtu hahukumiwi kwa tuhuma bro
Lakini si haya ni maelezo ya upande mmoja tu au umesikia ya pande zote? Kwa upande wangu, ukweli wa jambo hili unahitaji kusikia pande zote mbili, then kutoka hapo ndipo tunapoweza kujua upande upi unasema ukweli.Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.
Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).
RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.
Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.
Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.
Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.
Pia soma
Kwa nini kesi haipelekwi mahakamani ili hukumu ikatoke huko??mtu hahukumiwi kwa tuhuma bro
Kwa nini kesi haipelekwi mahakamani ikajulikane kama anasema ukweli au uongo??Una uhakika gani kasema kweli?
Huyo RC naye mshnz sana 😄Huyo bint ni mshenzi Sana
Upo sahihi kabisa. Huyo binti ni miongoni mwa wale honeypots wa uvccm.Mimi naamini kuwa hajalawitiwa, hivi alilawitiwa kwa kufanywa kwa nguvu?
Mtu atakulawiti vipi kama kweli mwenyewe hutaki?
Huyo binti ni mwongo.
Hivi wasaidizi wa Rais wanajua anachokipigania Rais zile 4Rs zake.aise!!
Viongozi wanapaswa kuheshimu Utawala wa Sheria ambao Rais wetu kila kukicha anahimiza ufuatwe na uheshimiwe.
Kila mara nasema viongozi wengi hawana maadili, wengi wao ni wazinzi na wanasaliti wa ndoa zao.....sasa kiongozi akiwa mzinzi anawezaje kutenda haki kwa anao waongoza??!!! hili ndio tatizo kubwa tulilo nao kwa viongozi wetu wanao teuliwa. uhuni.uzinzi!!!!
Nimemsikia binti Jana kwenye taarifa ya habari azam utv 5.7.2024 usiku akiomba msaada kutoka kwa Mhe. RAIS, nilishangaa!! inakuwaje aombe msaada kutoka kwa Rais wakati RC yupo?
Kwa nini hii kesi haipelekwi mahakamani ili haya maswali yote yakajibiwe huko??Mimi naamini kuwa hajalawitiwa, hivi alilawitiwa kwa kufanywa kwa nguvu?
Mtu atakulawiti vipi kama kweli mwenyewe hutaki?
Siku hizi kesi haipelekwi mahakamani na polisi mpaka ipate idhini ya DPP.Kwa nini kesi haipelekwi mahakamani ikajulikane kama anasema ukweli au uongo??
Na pia kusema tu kwamba kalawitiwa siyo ushahidi kwamba alilawitiwa. Na ili mahakama ijiridhishe kwamba alilawitiwa, lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka. Je, utapatikanaje, maana awali nilisikia mtuhumiwa akidaiwa kusema kwamba jambo hili limepikwa kumchafua. Je, ni upande upi unasema ukweli?Kuwa wapenzi sio kibali cha kulawiti,
Hata mke wako wa ndoa wa miaka 30 ukimlawiti ni kosa la jinai kwa sheria za nchi hii.
Ila DPP aliona kuna kesi kwa wanaodaiwa ni madada poa wasio na wateja wao waliokamatwa na Hassan Bomboko DC wa Ubongo??Siku hizi kesi haipelekwi mahakamani na polisi mpaka ipate idhini ya DPP.
Pengine DPP kaona hakuna kesi hapo.
Nia njema kwa suala la Kijinai. kifamilia vipi? hii ni criminal case, na ni against Human Rights hawa Ma RC Simiyu/Mwanza wamemdhalilisha Rais na taasisi ya urais.Huyo binti ni malaya tu.
RC alikuwa na nia njema ya kutaka wayamalize kimya kimya, alikuwa kishafahamu wana mahusiano.