RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Said Mtanda umeingia Choo Cha kike my brother!
 
Rais amelelewa kwenye misingi mizuri ya Dini....tusubiri
 
Mjinga Mmoja wewe.

Watu aina ya RC MTANDA wanahitajika zaidi hapa Nchini.

Kwenda huko na kamalaya Kako, haki Katoto ni kamalaya kanajiuza
Mtanda hafai hata kidogo. Sio mara ya kwanza anajaribu kutumia MADARAKA yake kukosesha haki za wananchi na kutetea wakosaji ambao ni rafiki zake. Mtanda anadharau wanawake sana. Mtanda akiwa mkuu wa wilaya Arusha mjini nilishuhudia akimtisha mama mmoja asijaribu kufatilia haki zake juu kwani atamwekea vikwazo na alifanya hivyo. Mtanda hafai kukalia hiyo ofisi ya uma
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Huyo mshirikina number moja ndani Serikali yoote hiyo mchawi sana huyo tunamjua.......anamsaidia nawanda ndugu yake wote Machinga hao........
 
Kuwa wapenzi kunaruhusu kulawiti? Binti ameeleza walihitilafiana kwa sababu hiyo hiyo ya RC kutaka amlawiti..yaani pesa zetu wazazi analipwa mtu aje kuzitumia kulawiti watoto wetu!!! Kwanza kiongozi unakuwaje mpenzi na mtoto wa chuo?? Wewe unaona imekaa vzr???
Mapenzi hayachagui as long as age imevuka kwenye utoto... wapenzi hawaruhusiwi ila hoja yangu hapo ni kwamba muheshimiwa anaweza asikubali kirahisi kuhukumiwa peke yake ndio maana nikasema anahitaji awe na mwanasheria anaejielewa.

Kumbuka kuna muheshimiwa na mwanafunzi hapo ambao walikua wapenzi, kwahiyo ni rahisi kusimama kwenye makubaliano then kugeukwa kwa interest binafsi yaani fedha.
 
Binti mpaka anashtaki inaashiria aliingiliwa kwa nguvu, angeridhia asingekuwa na haja ya kushtaki. Kuwa wapenzi siyo shida, shida ni kuingiliwa kinyume.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hapo kuna muheshimiwa na mwanachuo so kushtaki inawezekana kwa interest binafsi, Trump alikua na kesi za namna hii na wale wadada alikua nao kimapenzi... in short hii kesi sio rahisi kama wote wawili wakiamua kukaza.
 
Ni mara chache nawasifu Polisi wanapofanya vizuri Kwa sababu ni wajibu wao kufanya vizuri. Lakini wanapofanya zaidi ya vizuri lazima tuseme Big up Polisi.
Jinsi Polisi Mwanza chini ya Kamanda wao Wilbrod Mutafungwa walivyoshughulikia suala la Tumsime utakubali Polisi wakiamua kufanya kazi bila kutumika wanafanya vizuri Sana.
Katika tukio hili kunajitokeza shinikizo la RC Mwanza akitumia vibaya mamlaka yake kumshinikiza mhanga afute kesi na jnapoonekana kushindwa anahusishwa mama mzazi aliyeko Mpanda ambaye anawekewa mil.3 kwenye akaunti na kusafirishwa Hadi Mwanza ili akamshawishi binti yake kuachana na kesi hiyo Kwa usalama wake na mustakabali wa maisha yake. Ikafikia kupewa barua iliyoandikwa Kwa wino wa Kijani (Wenye uelewa wanajua wino huu unatumika ofisi gani) akainakiri na kisha kuweka dole gumba. Analazimishwa aipeleke Polisi eti akafute kesi, lakini Kwa weledi Polisi wanamkatalia na kumwambia hii barua hujaandika wewe, hasa yaliposomwa maneno "Sitaki kutumika kisiasa".
Tukio la aibu kama hili Mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtànda anawezaje kuingilia Kati kuficha uhalifu na bado Mh. Samia akamuacha achafue ofisi ya Umma Kwa kulea uovu hata kama umetendwa na Mtu wa kabila lake au wa Chama chake? Ingekuwa anayetuhumiwa kulawiti ni Mkulima toka Sengerema RC angemtetea?
Ndugu yangu JangukamaJangu kwenye Uzi wake ameiweka clip yote ya mahojiano kama nilivyoeleza hapa na bàadhi ya Wakuu wakacomment. Viongozi wanaojaribu kuficha uhalifu kama huu watakuwa wameficha maovu mangapi au wao wamefanya maovu mangapi?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-06-14-50-40-564_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    Screenshot_2024-07-06-14-50-40-564_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    728.6 KB · Views: 2
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Nimeanzisha Uzi kama huu sikujua kama tayari umeliona hili. Asante Kwa kuwa muwazi.
 
Tumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.

Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.

Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
 
Heshima niliyonayo juu yako hainishwawishi kujibu hoja nyepesi kama hiyo. Acha niaendelee kukuheshimu japo hustahili.
 
Tumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.

Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.

Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
Hayo yote yanatakiwa yakajulikane mahakamani.
 
Hata mimi nilijiuliza hivyo, kwamba hiyo courage inatoka wapi? Anyway, kama ni kweli alifanyiwa hivyo na ana hiyo courage, basi nampongeza maana si wengi wanaweza kufanya hivyo.
Courage hiyo inaashiria binti Yuko kwenye stage ya hasira kali si unajua ukiwa kwenye hasira unaweza Fanya tukio kubwa
 
Viongozi wetu wamepewa vyeo kama chaka la kufichia upuuzi wao,haiingii akilini kiongozi mkubwa wa cheo cha mkuu wa mkoa kufira mtoto,bado hapo hapo kiongozi wa cheo kile kile kutetea mambo ya ufiraji kwa misingi ya ukabira
Alafu kutwa kujifanya wasafi wakiwa na polisi kukimbizana na madada poa na mashoga
 
Back
Top Bottom