Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Bavicha, anaakiri maana alipotamka tu ofisi ya mkoa ikatoka ofisini na kwenda field.RC hakatai kuwa wagonjwa siyo wengi kama alivyosema Nkuna, ila anakataa kuwa siyo wengi kuzidi upatikanaji wa mitungi ya oxygen! Yani wagonjwa wanaweza kuwa 50 ila mitungi ipo 51.
Vyeo vya RC na DC huwa sielewi umuhimu wake.