RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

Kwa hiyo Bashe alikuwa anashoot video ya wimbo wake mpya pale namanga? Hizi cheap popularity na kusaka vyeo kipuuzi hivi zitalisambaratisha taifa kwani hakuna collective leadership ya Nani aseme Nini au ajibu Nini!
 
Namanga siyo Holoholo bwashee uwe unaelewa!
 
Namanga siyo Holoholo bwashee uwe unaelewa!
Hebu nieleweshe vizuri juu ya mipaka hii miwili ya namanga na horohoro. Ni upi Kati ya hizo unakuwezesha kuingia nchini Kenya? Hivi ukipita namanga unatokea nchi gani na ukipita horohoro unatokea nchi ipi?
 
Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya!
 
Exactly

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…