Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namanga siyo Holoholo bwashee uwe unaelewa!Kwa hiyo Bashe alikuwa anashoot video ya wimbo wake mpya pale namanga? Hizi cheap popularity na kusaka vyeo kipuuzi hivi zitalisambaratisha taifa kwani hakuna collective leadership ya Nani aseme Nini au ajibu Nini!
Hebu nieleweshe vizuri juu ya mipaka hii miwili ya namanga na horohoro. Ni upi Kati ya hizo unakuwezesha kuingia nchini Kenya? Hivi ukipita namanga unatokea nchi gani na ukipita horohoro unatokea nchi ipi?Namanga siyo Holoholo bwashee uwe unaelewa!
Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya!Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.
Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za mahindi zimevushwa kuingia Kenya bila usumbufu wowote.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huoni tofauti bwashee!Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya!
Umejulishwa upande mwingine .kesho itakuwa mpaka wa sirariHuoni tofauti bwashee!
ExactlyMkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.
Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za mahindi zimevushwa kuingia Kenya bila usumbufu wowote.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!