Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Huna hoja BAVICHAmbona Mpina anamdai
imetulia
Hongera sana Mama SAMIAView attachment 3429438
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga Shule, kuinua ufaulu na kupunguza umbali wanaotembea kufuata Elimu.
Kwa kipindi hicho, Shule za msingi zimeongezeka kutoka 682 hadi 711, na Sekondari kutoka 186 hadi 200, huku vyuo vya kati vikiongezeka kutoka chuo kimoja hadi vitatu.Pia, kumekuwa na ongezeko la vyumba vya madarasa, madawati, meza na viti kwa Shule zote, pamoja na ujenzi wa nyumba za walimu, mabweni, maabara na maktaba. Kwa mfano, madarasa ya Shule za msingi yameongezeka kwa 946 na ya Sekondari kwa 1,282. Madawati yameongezeka kwa 35,919, na walimu wapya 1,215 wameajiriwa.
Rais Samia Kwa kutumia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR), madarasa 101 yamejengwa, meza na viti 4,813 vimetengenezwa, na chuo cha VETA Bugarama kimejengwa kusaidia mafunzo ya ufundi kwa vijana|||.
umeupiga mwingi sana tuView attachment 3429438

umeupiga mwingi sana tu
kazi za mama ni za kutumainiwa sanaumeupiga mwingi sana tu
Hizi ndizo sababu 5 kwanini tumchague Rais Samia:View attachment 3429438
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga Shule, kuinua ufaulu na kupunguza umbali wanaotembea kufuata Elimu.
Kwa kipindi hicho, Shule za msingi zimeongezeka kutoka 682 hadi 711, na Sekondari kutoka 186 hadi 200, huku vyuo vya kati vikiongezeka kutoka chuo kimoja hadi vitatu.Pia, kumekuwa na ongezeko la vyumba vya madarasa, madawati, meza na viti kwa Shule zote, pamoja na ujenzi wa nyumba za walimu, mabweni, maabara na maktaba. Kwa mfano, madarasa ya Shule za msingi yameongezeka kwa 946 na ya Sekondari kwa 1,282. Madawati yameongezeka kwa 35,919, na walimu wapya 1,215 wameajiriwa.
Rais Samia Kwa kutumia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR), madarasa 101 yamejengwa, meza na viti 4,813 vimetengenezwa, na chuo cha VETA Bugarama kimejengwa kusaidia mafunzo ya ufundi kwa vijana|||.
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:View attachment 3429438
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga Shule, kuinua ufaulu na kupunguza umbali wanaotembea kufuata Elimu.
Kwa kipindi hicho, Shule za msingi zimeongezeka kutoka 682 hadi 711, na Sekondari kutoka 186 hadi 200, huku vyuo vya kati vikiongezeka kutoka chuo kimoja hadi vitatu.Pia, kumekuwa na ongezeko la vyumba vya madarasa, madawati, meza na viti kwa Shule zote, pamoja na ujenzi wa nyumba za walimu, mabweni, maabara na maktaba. Kwa mfano, madarasa ya Shule za msingi yameongezeka kwa 946 na ya Sekondari kwa 1,282. Madawati yameongezeka kwa 35,919, na walimu wapya 1,215 wameajiriwa.
Rais Samia Kwa kutumia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR), madarasa 101 yamejengwa, meza na viti 4,813 vimetengenezwa, na chuo cha VETA Bugarama kimejengwa kusaidia mafunzo ya ufundi kwa vijana|||.
Kwani, hiyo pesa aliitoa mfukoni mwake?View attachment 3429438

Akikupa jibu njoo uniite 🐕 yaani pesa za Samia halafu kwenye kulipa madeni tunalipa watanzania! Kuna wakati utimamu wa akili ni changgamoto kwa wanaomsifia SamiaKwani, hiyo pesa aliitoa mfukoni mwake?
Wapi wewe?Kwani, hiyo pesa aliitoa mfukoni mwake?
Wewe unategemea huyu ndiyo RC kuongoza watu zaidi ya 1M kwenye mkoa na akili hana, Shinyanga mjini palepale kuna nyumba za tembe, barabara mbovu, maji shida na ziwa lipo karibu hapo lakini anakwambia hana deni, hana deni yeye na mume wake kuwa wanakula na kusazaMamaaa Mamaaa! hizo hela katoa kwenye mshahara wake?
Watu wengine sijui wakoje?