Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."