Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Dah! Bado safari ni ndefu sana- sijui kama tutafika.Uzoefu kwanza

AiseehUkisikia ni "maelekezo kutoka juu" ndo kama hivyo.
Kwahiyo alivyozidiwa na Viagra ukakimbia?Kumbe viagra inaua.
Pumbaf 👿Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Mkuu nchi ya Tanzania iko kwenye wakati mgumu sana sana. Sijui ni kwa nini wananchi wengi hawaoni hili jambo. Huwezi kujua kifo kimesababishwa na nini kwa kuangalia kwa macho ya uzoefu. Da.. kweli tumepatwa.Ni kwa uzoefu ama kitaalam? Kwa hiyo jeshi linafanya kazi kwa mazoea?
Hii Serikali ya mazafakas ni ya ajabu sana!Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
kigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi nduguCjamwelewa na sidhani anaeleweka
Sawa Afande.Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Siro amesomea udaktari? Siro bwana,experience is not competency hasa fani hujasomeaMkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Aisee..AISEEEE
Kwahyo hawakua na picha ya heche mnato wala ya dereva jitahidi kua na busarakigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu
uchunguzi bado unaendelea
ukifahamika jiheshimukigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu
uchunguzi bado unaendelea
acheni ujasusi uchara wenu huo ukiona mtu anajoin JF afrika sio kenge kama kenge waliopo oficn mwenu humokigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu
uchunguzi bado unaendelea
Huyu ndo yule alikua IGP? Kama ndie angepumzika tu baada ya uIGP kuishaMkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Kiutalamu apo tunasema kiongoz ametoa muongozo majibu yanatakiwa yawejeKwa hiyo Rc anarecomend kabla ya taarifa ya pathologists?
Kuna maana gani ya kuita wataalamu badala ya kutumia uzoefu?
Kunakuwa na haraka gani ya kukimbilia kutangaza matokeo, je baada ya vipimo majibu yakawa tofauti na alichokisema, ataruhusu watu wamvunjie heshima?