Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kumbe viagra inaua.
Inashangaza kuona mtu wa hadhi ya IGP mstaafu hakijui kifo cha kawaida! Ni kwamba huyo dereva ameshakuwa mzee wa miaka zaidi ya 90+ na hivyo alikuwa anahesabia tu siku zake za kufa?Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Kwa hiyo Rc anarecomend kabla ya taarifa ya pathologists?Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
"Kureta" ndiyo nini?Na huwo ndio ukwel.
Shida ni kureta siasa katika kila jambo
Ukisikia ni "maelekezo kutoka juu" ndo kama hivyo.Kwa wasifu wake hakutakiwa kusema haya, unategemea Polisi - ambao kiutawala yeye ni mkuu wao - watatoa ripoti inayotofautiana na alichokisema??
Ni sahihi lakini hapo ujue tayari mkubwa ameshatoa maelekezo anataka taarifa iweje. Tofauti na hapo taarifa itarudishwa/itakataliwa na kuagizwa ikafanyiwe marekebisho.Taarifa inayotakiwa kutolewa ni ya Dr sio watu wanaosema kutumia uzoefu tena..
SiroMkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida.
"Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena mambo ya siasa, jambo likitokea tunasahau kwamba wakati mwingine ni nature, tunahisi kwamba inawezekana ni mkono wa mtu. Kwa hiyo leo taarifa niliyonayo kwamba pathologist kutoka kwao na wa kwetu, upande wa serikali, watakwenda pale kufanya uchunguzi alafu watatupata taarifa."
Ni kwa uzoefu ama kitaalam? Kwa hiyo jeshi linafanya kazi kwa mazoea?