RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

Pumbaf 👿
 
Ni kwa uzoefu ama kitaalam? Kwa hiyo jeshi linafanya kazi kwa mazoea?
Mkuu nchi ya Tanzania iko kwenye wakati mgumu sana sana. Sijui ni kwa nini wananchi wengi hawaoni hili jambo. Huwezi kujua kifo kimesababishwa na nini kwa kuangalia kwa macho ya uzoefu. Da.. kweli tumepatwa.
 
Hii Serikali ya mazafakas ni ya ajabu sana!

Kwanza, RC sio msemaji wa Jeshi la Polisi.

Pili, polisi anayefanya kazi yake kwa kuzingatia professional standards huwa hakimbilii kusema kifo kilikuwa cha kawaida kabla ya autopsy (postmortem) kufanyika.
 
Sawa Afande.

Africans always win when those of his kind are in authority.
 
Siro amesomea udaktari? Siro bwana,experience is not competency hasa fani hujasomea
 
kigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu

uchunguzi bado unaendelea
Kwahyo hawakua na picha ya heche mnato wala ya dereva jitahidi kua na busara
kigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu

uchunguzi bado unaendelea
ukifahamika jiheshimu
 
RC Sirro ni polisi, na polisi wetu wanafanya kazi kwa mazoea, hawana weledi na hata wakisoma hawazingatii taaluma.

Vv
 
kigoma sasa ni eneo la kiuwekezaji wenzetu kongo sio walimaji sana hivyo fursa za kiuwekezaji ni nyingi ndugu

uchunguzi bado unaendelea
acheni ujasusi uchara wenu huo ukiona mtu anajoin JF afrika sio kenge kama kenge waliopo oficn mwenu humo
 
Maku tu, kwa hyo nature inaua na kupiga risasi watumishi na viongozi wa upinzani tu?.
 
Huyu ndo yule alikua IGP? Kama ndie angepumzika tu baada ya uIGP kuisha
 
Kiutalamu apo tunasema kiongoz ametoa muongozo majibu yanatakiwa yaweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…