Na anajisahau, na kuanza kutoa amri za kipolisi!Aibu Sana Hii Ndugu Zangu Yaani IGP (mstaafu) Aazimiwe Na Madiwani
Nenda kafanye uhalifu kigoma alafu mwambie hatakiwi kutoa amri za kipolisiNa anajisahau, na kuanza kutoa amri za kipolisi!
πππMkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP(Mst.) Mhe. Balozi Simon Sirro ametoa onyo dhidi ya wenyenia ya kutenda uhalifu mkoani humo na kusisitiza kuwa Jeshi la Polisi lipo imara na halitosita kuchukua hatua dhidi ya yeyote atakayebainika kushiriki vitendo hivyo.
Soma, pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Amesema hatofumbia macho vitendo vyovyote vya kihalifu mkoani humo huku akitoa wito kwa wenyenia ya kufanya vitendo hivyo kumrejea Mwenyezi Mungu na kuwa watu wema ili kudumisha amani na kuruhusu wakazi kutekeleza shughuli zao za kimaendeleo.
View attachment 3401631
Chanzo:HabariMpya
HeheNenda kafanye uhalifu kigoma alafu mwambie hatakiwi kutoa amri za kipolisi
Wakati IJP Yupo KaziniNa anajisahau, na kuanza kutoa amri za kipolisi!