Weka picha yako halisi na jina lako halisi ndio mtajuwa kuwa mpo wengi kumuua ben Saanane msifikiri limeisha never ever.....Mimi sina tabia km za Chadema Mkuu,
Tanzania hatutaki ushoga,
Kwahiyo we boya unahisi ni asilimia ngapi ya watanzania wanatumia hii mitandao?Yaani hadi leo haujajua nguvu za mitandao. Mikutano ya Lissu imezuiwa kutangazwa na vituo vyote, hakuna mabango popote lakini ni hii mitandao inayokusanya watu kuliko hamasa zote zinazotolewa na chama tawala kupitiaa kila machinery.
Mitandao ingekua dhaifu unadhani serikali ingekua inahangaika kuidhibiri?
Leo hii kinakuja kimburu eti kinapuuza mitandao wakati hata chenyewe kipo radhi kiupitishe mchana bila lunch ili tu kiweze kununua MBs.
Sawa tutaaga, lkn na yeye aage kabisa mke na mahawara zakeView attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Hiki ni kielelezo mahakama ya kimataifa(ICC)View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Muulize Bashir yuko wapi saa hii muda sio mrefu awa wapuuzi watajinyonga.The Hague unaijua au unaisoma tu mitandaoni,kila jambo mnalia the Hague,angefungwa kenyatta na Ruto basi
Umeona mazoezi ya majeshi wewe, tema mate chiniMwambieni kwamba that's well noted. Atambue kuna wanaoonglea mambo ya The Hugue hao wanaongelea kwa urefu wa kamba zao, ila kwa the other majority huo muda haupo. Yeye ndiye size yao wata deal naye vilivyo, asije akajidhania kwamba yupo salama kiasi cha kujisahau. Huenda hajatembea mitaani au hapewi taarifa za kweli, this time watu wapo serious, asije akashangaa atakaposhughulikiwa na walinzi wake mwenyewe.
Watu wameshatengeneza networks zao.
Mwambieni kwamba that's well noted. Atambue kuna wanaoonglea mambo ya The Hugue hao wanaongelea kwa urefu wa kamba zao, ila kwa the other majority huo muda haupo. Yeye ndiye size yao wata deal naye vilivyo, asije akajidhania kwamba yupo salama kiasi cha kujisahau. Huenda hajatembea mitaani au hapewi taarifa za kweli, this time watu wapo serious, asije akashangaa atakaposhughulikiwa na walinzi wake mwenyewe.
Watu wameshatengeneza networks zao.
Achana na utoto, mkuki mzima.Hiki ni kielelezo mahakama ya kimataifa(ICC)
Tatizo la kuongelea nyuma ya keyboardWezi ni wezi ata wakija na maneno gani ila tutashinda udhalimu wote
Yoshua 1:9
Lissu usiogope, madiwani msiogope, wabunge msiogope.
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Asitishe watu awafiki hata laki moja Hawa,pili awajawalipa nyongeza za mishahara 5 yrs watashangaa watakavyo geukwa hakuna utii kwenye njaaView attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Hata mbele ya keyboard kunaanzia nyuma ya keyboardTatizo la kuongelea nyuma ya keyboard
Sasa ni jukumu lao kulitekeleza. Ila uzuri watalitekeleza kimya kimya na bila kelele kama wafanyavyo JF!Ushauri mzuri
Nakushauri wala usihofie nenda kalinde kura baba.Huyo RC ni mshamba wa madalaka,huu siyo wakati wa kutisha na kuwafokea wenye Nchi,huyo RC hajui kuwa Tanzania ni Mali ya WANANCHI,
Amuulize Omary Bashiru aliyekuwa Raisi wa Sudani yuko wapi?
Wala usihofuNa kukiwa na changamoto ya utawala kufanya yasiyo mema, basi lawama itabidi uwape haohao wake zako ili wazifanyie kazi.
Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele wanaume wanapungua na wanaongezeka watu wenye uwezo tu wa kumpa mimba mwanamke.
Atutajie na sheria inayomzuia mwananchi kulinda kura yake/zake.View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Kuna watu wanaona TANZANIA ni mali yao nawakumbusha tu you cant stay fresh foreverView attachment 1611248