Uchaguzi 2020 RC Songwe: Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe umeiacha vizuri unaweza usirudi au ukarudi mlemavu

Mimi sina tabia km za Chadema Mkuu,

Tanzania hatutaki ushoga,
Weka picha yako halisi na jina lako halisi ndio mtajuwa kuwa mpo wengi kumuua ben Saanane msifikiri limeisha never ever.....
 
Yaani hadi leo haujajua nguvu za mitandao. Mikutano ya Lissu imezuiwa kutangazwa na vituo vyote, hakuna mabango popote lakini ni hii mitandao inayokusanya watu kuliko hamasa zote zinazotolewa na chama tawala kupitiaa kila machinery.
Mitandao ingekua dhaifu unadhani serikali ingekua inahangaika kuidhibiri?
Leo hii kinakuja kimburu eti kinapuuza mitandao wakati hata chenyewe kipo radhi kiupitishe mchana bila lunch ili tu kiweze kununua MBs.
Kwahiyo we boya unahisi ni asilimia ngapi ya watanzania wanatumia hii mitandao?
 
View attachment 1611248

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.

Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Sawa tutaaga, lkn na yeye aage kabisa mke na mahawara zake
 
Hawa wakubwa watu hatari sana. Hukuti kugusia Haki kwa vile Mashaka maslahi yao yataingiliwa. Juzi kina MTU humu alisema hawa Ma arasii na madisiii na wengine wanawaagiza wasimamizi ambao ni weos na maafisa ELIMU kata KUHAKIKISHA hawamtangazi mpinzanibhata kama akishinda. Na sasa wanazidisha vitisho. Hawapo sahihi kwa Maneno haya kwa kweli. Kamakiongozi hutakiwi kuongea kibabe HV. Naamini tungewachagua hawa hii lugha wasingeitumia.
 
View attachment 1611248

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.

Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Hiki ni kielelezo mahakama ya kimataifa(ICC)
 
Mwambieni kwamba that's well noted. Atambue kuna wanaoonglea mambo ya The Hugue hao wanaongelea kwa urefu wa kamba zao, ila kwa the other majority huo muda haupo. Yeye ndiye size yao wata deal naye vilivyo, asije akajidhania kwamba yupo salama kiasi cha kujisahau. Huenda hajatembea mitaani au hapewi taarifa za kweli, this time watu wapo serious, asije akashangaa atakaposhughulikiwa na walinzi wake mwenyewe.
Watu wameshatengeneza networks zao.
Umeona mazoezi ya majeshi wewe, tema mate chini
 
Wezi ni wezi ata wakija na maneno gani ila tutashinda udhalimu wote
Yoshua 1:9

Lissu usiogope, madiwani msiogope, wabunge msiogope.
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
 
Mwambieni kwamba that's well noted. Atambue kuna wanaoonglea mambo ya The Hugue hao wanaongelea kwa urefu wa kamba zao, ila kwa the other majority huo muda haupo. Yeye ndiye size yao wata deal naye vilivyo, asije akajidhania kwamba yupo salama kiasi cha kujisahau. Huenda hajatembea mitaani au hapewi taarifa za kweli, this time watu wapo serious, asije akashangaa atakaposhughulikiwa na walinzi wake mwenyewe.
Watu wameshatengeneza networks zao.

watu wapo serious sio[emoji16][emoji16][emoji16]

bado siku mbili tuone.
 
Wezi ni wezi ata wakija na maneno gani ila tutashinda udhalimu wote
Yoshua 1:9

Lissu usiogope, madiwani msiogope, wabunge msiogope.
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Tatizo la kuongelea nyuma ya keyboard
 
View attachment 1611248

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.

Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Asitishe watu awafiki hata laki moja Hawa,pili awajawalipa nyongeza za mishahara 5 yrs watashangaa watakavyo geukwa hakuna utii kwenye njaa
 
Huyo RC ni mshamba wa madalaka,huu siyo wakati wa kutisha na kuwafokea wenye Nchi,huyo RC hajui kuwa Tanzania ni Mali ya WANANCHI,

Amuulize Omary Bashiru aliyekuwa Raisi wa Sudani yuko wapi?
Nakushauri wala usihofie nenda kalinde kura baba.

Halafu naomba namba ya Omar Bashir nimpigie kumuuliza yupo wapi
 
Na kukiwa na changamoto ya utawala kufanya yasiyo mema, basi lawama itabidi uwape haohao wake zako ili wazifanyie kazi.

Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele wanaume wanapungua na wanaongezeka watu wenye uwezo tu wa kumpa mimba mwanamke.
Wala usihofu

Kalinde kura
 
View attachment 1611248

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.

Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Atutajie na sheria inayomzuia mwananchi kulinda kura yake/zake.
 
View attachment 1611248

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.

Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Kuna watu wanaona TANZANIA ni mali yao nawakumbusha tu you cant stay fresh forever
 
Back
Top Bottom