Uchaguzi 2020 RC Songwe: Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe umeiacha vizuri unaweza usirudi au ukarudi mlemavu

Mimi na familia yangu nitapiga kura turudi nyumbani
Tukishampigia kura Magufuli na Ccm tunaenda kupumzika

Nimeskia kuna mtu amekata tikit ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamamkataa
Familia gani mkeo nabii tito
 
Mimi na familia yangu nitapiga kura turudi nyumbani
Tukishampigia kura Magufuli na Ccm tunaenda kupumzika

Nimeskia kuna mtu amekata tikit ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamamkataa
Naona ajira yako itaisha baada ya uchaguzi
 
Ajira yake imebakiwa na masaa machache sana , nadhani huyu ndio alikuwa miongoni mwa Ma RC wa mwanzo sana kuonywa na Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…